Recent content by KING KINSO

  1. K

    Nimeibiwa leo; jifunze na wewe usiibiwe kama mimi

    Pole Mkuu! Umakini Unahitajika kila wakati na kila mahali! pia nikushukuru kwa kuwakumbusha watz wenzako kuchukua tahadhar wasije wakaibiwa kama wewe!
  2. K

    Mtanzania: Hali si shwari Zanzibar; Pemba yataka uhuru kamili

    Hakika Dhambi Ya Ubinafsi Imetimia! Loo! Hakuna Tanzania wala Zanzibar ! Unguja na Pemba zikiwa mamlaka kamili kutatokea mamlaka za kikabila na koo! Jamani watawala mko wapi? Gutukeni sasa anzeni kuigawa keki ya taifa sawa2! ubinafsi ukandamizaji wa haki za watu na uchoyo wa madaraka matokeo...
  3. K

    Philemon Luhanjo ni Mwizi-Norway’s newspaper

    Watanzania Tugutuke! kwanini viongoz wa nchi wako kimya kukemea ufisadi? Hivi ni nani aliyetuloga? hivi Tanzania bila Rushwa bila CCM bila UFISADI haiwezekani? ebu watanzania wezangu tuungane kuuyakataa madudu yanayofanywa na utawala wa CCM! Hii inanifanya niamini CCM sera yake ni kufanya...
  4. K

    Nashindwa kumweleza ukweli

    Pole ndugu yangu! kuwa na maambukizi ya vvu sio mwishn wa kuishi! cha msingi zingatia ushauri nasaha, kuwa muwazi kwa mkeo kama unaona vigumu mwambie ombi lake la kutaka mkapime umeridhia mwende mkapime! Unatakiwa ujiamini na uishi kwa matumaini!
  5. K

    Kaka hana uwezo wa kutia mimba..... Shemeji anataka nimtie mimba.... (true story)

    Ndugu yangu Ndoa inastahili kuheshimiwa na watu wote! Muogope Mungu pia mheshimu kaka yako pamoja na family yenu! Jiulize kaka yako kapenda hali hiyo imtokee? Je ungekuwa wewe ufanyiwe hivyo na kaka yako ungefurahia? Mahusiano kwenye familia yenu yatakuaje? ukifanya ufedhuli huo utapata faida...
  6. K

    mikataba ya bodaboda

    Kweli Nimeamini Hakuna Cha Bure! Haahahaaaa!
  7. K

    Hello! Jf Members

    Kwa Mara Ya kwanza nawasalim wana JF! Naamin nitajifunza mengi kutoka kwenu! Mungu Awabariki
Back
Top Bottom