Recent content by King Gmt

  1. K

    Msaada: samsung galaxy s5 battery

    Kama kichwa cha habari kisemavyo Naomba kufahamu bei na mahali naweza pata battery ya samsung s5
  2. K

    Kati ya hizi EQUATIONS zilizobadili Dunia, Umewahi kukutana na Zipi?

    Mm bado baadhi naztumia mpaka sasa
  3. K

    Samsung vs Huawei

    Wakuu, wapi naweza ipata motolora moto G(3rd gen) kwa hapa dar?
  4. K

    Lulu Mahakamani: 23rd April 2012

    eti wadau mbona ndugu yang alipelekwa kizimbani na ka-askari kamoja tena kalikokuwa kamejichokea,inakuaje haka kamalaya kanapelekwa na kituo kizima cha police?afu bongo ilivyo ya mapoyoyo utaona kesi itakavyopigwa tarehe mpaka wabongo 2sahau!
  5. K

    PCM na PCB ipi iko fresh in case of ajira hapa tz?

    usihofu ni kidole gumba cha mchina na kuhusu English nina banda ktk CSEE
  6. K

    huyu MMASAI niaje?

    huenda ni mazoezi yao huko kwao maanda hawana goz kwamba watacheza uwanjani!! Mhhhh!! lakin inatisha hadi karne hii ya mchina wenye bado wako hiv?
  7. K

    PCM na PCB ipi iko fresh in case of ajira hapa tz?

    Ebwana mi nimechaguliwa kujiunga na fm 5 PCM OLD MOSHI na nataka mnishauri nibaki ama niende PCB,coz nahofia ajira mbeleni.
  8. K

    Kweli Wezi Noma

    Hawa majamaa ndo wanastahili kusomea enginering kwani sayansi na technologia yao inazidi hata ile ya Mchina
Back
Top Bottom