Recent content by King Easy

  1. King Easy

    RPC KILIMANJARO: Traffic anakusanyia rushwa barabara ilipo nje ya ofisi ya RC geti la kutoka na geti la kuingilia DED wa Moshi Manispaa

    Ingelikua vyema neno "Kusumbua" likanyambuliwa vizuri wanasumbuaje "vile vitendo". Yawezekana wao wako katika majukumu yao ya kila Siku na ndio eneo lao la kazi. Madereva wa vyombo vya Moto Kuingia Ofisi ya RC au DED haimaanishi yasikaguliwe. Iko wazi ukiombwa Rushwa Toa taarifa kwa viongozi...
  2. King Easy

    Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

    @Nifah Swaiba, Rafiki. Kuna watu kwetu ni ngumu kukubaliana na hili mliloliamua. Twatamani tuwaitishe pamoja ili tu solve hili jambo. Kwakuwa mmeamua kwa kuridhia wenyewe pasi sisi kuwashauri basi ikawe Njema kwenu. Ila Isigeuke vita baina yenu.
  3. King Easy

    Jinsi Ya Kutokukata Tamaa Katika Nyakati Ngumu Za Maisha

    Katika maisha zipo nyakati, ambazo naweza sema ni nyakati ngumu sana na zina misukosuko mingi, kiasi cha kwamba usipokuwa makini unaweza ukaachana na kila kitu kutokana na nyakati hizi kuwepo kwako. Nyakati hizi ngumu katika maisha ya mwanadamu huwa zinatokea sana na inawezekana pia hata hivi...
  4. King Easy

    Magenge ya utapeli Tanzania: Tupe stori kama umekumbana na kadhia zao

    Kwa muda mrefu kumekuwa na Magenge mbalimbali ya Utapeli kupitia Mitandao, Waganga na hata Wafanyabiashara. Hadithi n nyingi kuhusu magenge ya watu hawa. Yawezekana una ndugu, rafiki au hata jamaa aliyekumbwa na kadhia ya hii ya kutapeliwa. Zipo taarifa kuwa ndani ya Magenge haya kuna watu wa...
  5. King Easy

    Hivi Waafrika hasa Tanzania Tunakwama wapi kutengeneza vitu vyetu wenyewe?

    Nathani tatizo lipo katika Uwekezaji. N baada ya hapo bidhaa kuja kushindana soko bidhaa zilizopo
  6. King Easy

    TBS tunaomba kuangalia hiki kinywaji K-vant

    Asaa mtu umekula ugali mchicha kwa mama Ntilee au Samaki na Ndizi, kwanini isifanye factory resetting?
  7. King Easy

    Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

    Duh! Kwamba Polepole ana Nguvu kiasi hiki? Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
  8. King Easy

    Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amemteua Ndg. Humphrey Polepole kuwa Mbunge Katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Polepole ni Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM - NEC, itikadi na uenezi. Nini kimelegwa hapa? Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
  9. King Easy

    UTEUZI: Hatimaye Hassan Ngoma ateuliwa kuwa Katibu Tawala Wilaya ya Singida

    Aende na Same nadhani wanahitaji Mbuge kijana kama yeye
  10. King Easy

    Inashangaza: Watu wanamuomba ruhusa Rais Magufuli, badala ya kupewa wanatumbuliwa

    Sidhani kama ni sahihi. Lugha gongano. Una namba za DED tumuulize swali ili tuonfoe huu utata?
  11. King Easy

    Inashangaza: Watu wanamuomba ruhusa Rais Magufuli, badala ya kupewa wanatumbuliwa

    Bado anapaswa kuhudhuria vikao vya uteuzi wa kamati za Wilaya huko Sengerema..At the Same time anatakiwa kuwa DED Same. Anajigawaje. Actually yeye ndio kaomba kuachia ngazi.
  12. King Easy

    Inashangaza: Watu wanamuomba ruhusa Rais Magufuli, badala ya kupewa wanatumbuliwa

    Taratibu za Utumishi wa Umma zinasemaje? Na katika hali.ya Kawaida huwezi tumikia Mabwana wawili kwa wakati mmoja. Hapo lazima mmoja utakuwa mchepuko.. Yaani Annaclaire DED Same au mgombea Ubunge Sengerema. Wakati wa kutangaza washindi yeye anatangaza Same kwake afu yeye atangazwe Sengerema...
  13. King Easy

    Nini kiliwapata Wamiliki wa hii Michuma? Tunyamaze hata kwa Dk. 3 kuwakumbuka

    Hii Kwacha ndio ilikua chini ya umiliki wa Mzee Masasi?
  14. King Easy

    Habibu B. Anga (The Bold) Mungu akupe maisha marefu sana, afya njema pamoja na baraka tele. I sincerely appreciate your writings brother. All the best

    Ni simulizi unalalamika kama umepigwa moyo uankosa Mapigo ya Moyo. Uliza napataje muendelezo wa Simulizi
Back
Top Bottom