Mama Anna Mghwira kwa pamoja tukiwa kama watanzania tunaweza tukafanya jambo kubwa la kihistoria ambalo halikuwahi kufikirika hata kidogo pamoja na wazo hili zuri ningependa kukupongeza kuwa na roho ya kuwaza kusaidia watanzania wenye muelekeo wa kuweza kupata elimu ya juu mimi nikiwa mmoja kati...
Mimi binafsi ninapenda kumpa pongezi za dhati Mhe Dr. John Pombe Magufuli kwani tarayi tumeona mabadiliko makubwa katika sekta mbali mbali za uongozi ikiwemo utekelezaji wa ahadi zake alizoahidi katika kampeni zake za mwaka 2015 isitoshe ningependa kutoa maoni pia kwamba kuna baadi ya watu...
kaka pole sana kwani hili nlo ni tatzo kubwa cha kukushauri bwan kaka we ndo mwenyemakali najua huyu dogo anayejitia kimbelemble achana nae kwan wewe najua ni mtu mkubwa sana umepitia mengi na umeona mengi sana hebu mtengenezee future hyu bwana mdogo kwani kama ameshindw kusoma mtafutieni njia...
sema watu wengine wanajion wazuri kumbe hata mke wangu anamzidi tu huyu anayesema milion 500 anazijua au anazisikia tatizo VYUMA VIMEKAZA TUMEWEKA vilainishi lakini bado viamekaza ataambulia matusi tu kwa watu wana hasira na uchumu kwa sasa
kwanza nianze kwa kukupatia pole mkuu kwani hili ni swala zito sana lakini cha kukushauri tu mimi naomba nikushauri sana kufanya maombi kila mara ili mungu akuepushe na hili jinamizi la kupenda damu yako mwenyewe.
1.hizi zote ni dalili za majini machafu kwa hiyo chakufanya jaribu ufanya...
jamani kuna kitu kinaitwa religion tolerance kwanini tugombane wakati sisi sote ni ndugu wa asili kama vipi hebu tafuta wimbo mmoja wa Afande sele ft belle 9 DINI TIMELETEWA utajifunza kitu hamna haja ya sisi kulumbana kila siku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.