Recent content by KING COBRA IIII

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mbasha: Kanisa la Ufufuo na Uzima Tunasema...

    Sio kweli hats kidogo kwamba Gwajima anavunja amri ya sita na Frola Mbasha.... Cha msingi mbasha amebaka full stop..... Haya mengine kujinasua tu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali 2 ni ghali kuliko serikali 3, Ushahidi huu hapa

    Kazi kweli
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Katunzi Kurithi Mirathi ya Mzee Kulola kinguvu ilhali mjane wa Askof Kulola bado yupo

    Hahahahahaha! Sidhani kama Katunzi anazitaka mali za Familia kwa style ya kukomaa na wosia!. Mimi nijuavyo Wosia huwa halali baada ya Muandika wosia huo na msimamizi wa Kisheria ni Aliyemtaka yeye kukubali kusimamia!..... Je tujiulize Katunzi ni msimamizi au ni mrithi wa Mirathi hii...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Harris Kapiga: Mchungaji aliyefungua ‘klabu ya usiku’ Dar

    Mchungaji wa Mashoga ?......
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Katunzi Kurithi Mirathi ya Mzee Kulola kinguvu ilhali mjane wa Askof Kulola bado yupo

    Hawa watoto wa Marehemu Askofu Mkuu wa EAGT wako kwenye Makundi mawili kutokana na Msimamo wa wosia alioacha Baba yao Mzazi yaani wako wanaoukubali na wengine wanaoukataa. Kwanza kabisa turudi kwenye Historia ya Marehemu Askofu Mkuu Moses S. Kulola hasa wakati wa Mwisho wa Uhai wake...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Live on TBC: Hotuba ya Rais Kikwete kwa Taifa kufunga mwaka 2012

    Mbona Rais Kikwete Mtu safi na Mchapa kazi kwelikweli au wewe uoni katika Misiba na Dhifa mbalimbali.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Usultani wa wagombea urais wa kudumu tanzania

    Dkt: Slaa ndiye Rais ajaye!.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz atajwa kupanga njama za Mauaji ya Nape!!!

    Mama Kiuno chako kitumie kuokoa Taifa!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hashimu Rungwe: Mbatia ni Kibaraka wa CCM na ni Dikiteta Kulinda Maslahi ya CCM!!!

    Kumbe Kule ndani kwa Bi Kiroboto kuna Mipunga!
  10. K

    JamiiForums Tanzania SIFA: Makamu wa Rais awe na STASHADA YA USHONAJI

    Kuna ka Choo ka Matairi ya Gari nitamuita aje akafungue! Maana angalia Mfuko ulivyotuna nadhani kanafunguo Mfukoni
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mh. Mramba usikubali

    Rais wetu ni Msanii na Hana lolote analofanya! Mramba anakula Bata safi tu!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kuvuja mitihani ya Form four kila mwaka NECTA na waziri wa elimu wajiuzulu!

    1: Rais Mwizi Fisadi. 2: Waziri Mkuu kapoteza Imani Bungeni. 3: Waziri wa Elimu ana Undugu na Rais. 4: Chama cha Walimu Kinaidai Serikali. 5: Polisi wanolinda Mtihani Mshahara Mdogo. Unataka Ndalichako afanye nini na Necta yake kama si kumuonea huruma kwani hata hapo alipofika kajitahidi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nimejivua Gamba Rasmi

    Kudadadeki.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais ana kazi gani?

    Muungano ni Kiunganishi kati ya Tanganyika na Zanzibari hivyo Nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ni Moja kati ya Dawa ya Maumivu kwa kuwatuliza Wazanzibari katika Muungano. Aidha kwa Zanzibari pia Makamu wa Kwanza wa Rais ni Dawa ya Maumivu kwa Chama kikuu cha Upinzani kwani nao...
Back
Top Bottom