Recent content by king Chuga

  1. king Chuga

    Uhusiano kati ya katiba mpya na maendeleo ya taifa letu.

    Ndugu zangu, wanajamii wenzangu, naomba kujua ni vipi katiba mpya inaweza kuchangia upatikanaji wa huduma bora kama za afya, elimu , barabara na mambo yanayofanana na haya. Kwa upeo wangu naona katiba mpya inalenga zaidi mgawanyo wa madaraka, mfumo wa siasa nk.
  2. king Chuga

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naombeni mwenye wimbo wa carola kinasha ni pendo . Nimeutafuta sana bila mafanikio
  3. king Chuga

    INFINIX NOTE 4 PRO

    wakuu kwa wenye utalamu zaidi wa kujua uzuri na ubaya wa hii simu, ikiwezekana na bei yake kwa hapa Tanzania na maduka ntakayoweza kupata kwa urahisi tafadhali.
  4. king Chuga

    Wabunge wenye hali mbaya "Uchaguzi 2020"

    Lusinde, John Nyika, Mdee, Prof Maghembe, Dr Mwakyembe, Prof Kabudi, Ngelleja, Mabulla, Yule wa IGUNGA, Bullaa 50 50 anaweza kurud au asirudi. wengine apo kwenye list kisiasa ndio mwisho wengine hawatagombea.
  5. king Chuga

    Msaada: Hivi ni Kubadilisha window au kuweka window?

    umejipanga vipi kubadilishiwa hyo windows ??
  6. king Chuga

    nauza Laptop 780,000

    bado mpya sjabandua makaratasi yake, haina mikwaruzo yoyote. kwa anaeitaji >>> pm acer Aspire E15 E5-571 intel core i3-4005u(1.7 ghz, ) 4GB RAM 500 GB HDD 15.6 screen size
  7. king Chuga

    Msaada: Nawezaje kuona kozi ambazo hazijajaa kwa UDOM na Mzumbe

    ingia web ya mzumbe then utaona tangazo pale . utaona nafasi zote ambazo bado zipo wazi. chuo sio kigumu ila hakitaki mbwembwe na ujuaji mwingi nadhan na umarufu pia.
  8. king Chuga

    Eneo linauzwa vigwaza kama unaelekea kwala

    uko si kuna mgogoro, wanasema gesi ipo maeneo ya uko na wananchi wameshaambiwa kabisa
  9. king Chuga

    MZUMBE UNIVERSITY

    mzumbe wapo tofauti sana ndugu, hawafanyi mambo kwa sababu wengine tayari.
  10. king Chuga

    LLB UDSM vs LLB Tumaini Makumira

    linganisha udsm na mzumbe angalau watachangia vizuri , tumaini na saut
  11. king Chuga

    TCU mnafanya haya madudu kwa faida ya nani?

    labda kama unasubiri matokeo ya sup , pole
  12. king Chuga

    Je wanaoomba vyuo kwa mara ya pili wanatakiwa kulipia tena?

    haulipii unatakiwa kujaza upya . na uchague kwa nafasi zilizopo
  13. king Chuga

    TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    heshima ya degree inarudi. safi sana apo nmekubali kabsa , wangesema mpaka waliopo vyuoni kama huna 3.5 and above urudi tu kwenu
  14. king Chuga

    Jinsi ya kuapply mkopo

    kwa anaejua tafadhali
  15. king Chuga

    Gesi ya ujazo wa futi Trilioni 2.17 yagundulika Bonde la Mto Ruvu

    naomba kujua gesi ya bonde la mto ruvu inapatiakana maeneo yapi , ukizingatia bonde la mto ruvu ni sehemu kubwa.
Back
Top Bottom