Eneo linauzwa vigwaza kama unaelekea kwala

Kazitunayo

JF-Expert Member
Mar 30, 2013
3,773
3,160
Kama kichwa kinavyosema eneo linauzwa vigwaza barabara ya kwala linakaribia heka 1 bei mil 4 maelewano yapo pia nicheki kwa namba 0718003504
 
Vigwaza ni mbele ya Ruvu mkuu morogoro road kupimwa bdo unaeza kupima mwenyewe tu
 
Kwa bei hiyo vigwaza bado sana!maana mi ni mwenyeji uko na hiyo bei uitajayo kwa vigwaza sio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom