Recent content by king ajube

  1. king ajube

    Jamani naombeni ushauri

    mthamini. na umpe mapenzi mazito
  2. king ajube

    Hii ni tabia mbaya kwenye mahusiano

    hasa hii ya kupiga chafya kwenye public trnsport huku m2 kaachia domo wazi, inanikera maana huwezi kujua afya za wa2 wote,
  3. king ajube

    Msaada please

    ungemuoa kabisa ili isiwe kikwazo. lakini jaribu kuchunguza ni kipi kilomfanya afanye uamuzi huo, pengine kuna jambo. Be care.
  4. king ajube

    Rushwa ya ngono St.John's University inatishia usalama wa wanafunzi wa kike

    Hapo issue ni walimu wachache mno, ingekuwa wanafunzi wengi wanapenda fani ya ualimu walimu wangekuwa wengi na kama ikitokea tatizo kama hili asingekanywa wangem fire Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
  5. king ajube

    Nipeni mbinu za kuishi single

    Naamini kuwa licha ya mazuri mliyopitia lakini pia kuna mabaya aliyowahi kukufanyia. So huu ndo wakati wa kudeal na yale mabaya aliyokutendea usiyafikirie mazuri huta msahau. Na usikurupukie kampani utajikuna una mwingine atakayekuumiza zaidi, na dhamira yako ya kuwa single ikabaki hadithi. Ni...
  6. king ajube

    Hii ni nchi gani? Hizo ni nyumba au vibanda?

    Hapo si sambulachole huko bagamoyoo Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
  7. king ajube

    Dogo janja atimuliwa kwa Ostadh Juma na Musoma

    Dogo ajitahidi kusoma game. Sema kuna wengine migongo yao inaunguza hata umbebe na mbeleko gani. Cha msingi sasa ni a.... Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
  8. king ajube

    Swali la Ugomvi: CCM ni kama nini?

    Mi naifananisha na mtetea hata ummwagi mchele sakafuni bado atauchakura tu, hawezi kula tu ashibe.
  9. king ajube

    Je kuna uhusiano gani???Ukubwa wa MATITII.... na WAIMBA TAARABU!!ama madawa??

    Kutokana na muziki wao sio wa kutingisha nyonga na mazoezi basi wanaridhika tu. Na siku zote taarabu wachezao mashabiki si waimbaji. Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
  10. king ajube

    Dah!..kweli kutongoza habari nyingine..

    Haujapenda ww ukipenda mdomo unafunguka wenyewe. Subiri utapenda na utasema tu. Ukishindwa sana tumia mawe. Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
  11. king ajube

    Mwana CCM yoyote akinijibu hili nahamia CCM

    Wametuongezea huduma ya ubinafsishaji, ujamaa na iliyotekelezwa barabara ni huduma ya ugumu wa maisha kwa kila mtanzania. Tuiombee miaka ijayo itupunguzie matatizo. Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
  12. king ajube

    Hawa Graduates wa chuo gani????

    Sio muslims hao nahisi ni revolution univasity kiko hapa hapa kwenye ardhi ya uongo Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
  13. king ajube

    WCB ya Diamond,kilefu na maana yake

    Katika wanamuziki ninaowakubali wa kibongo ni huyu mtu yaani anjitahidi sana kuulinda mziki wake kuliko viongozi wanavyojali viti vyao. Anaboresha kila siku, bigggggg up to u maaan. Unang'aa kama dhahabu like ur name. Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
  14. king ajube

    Tell your marital status!!special to someone you love or hate or whatever

    Now m single n I don't wanna hear about love. Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
Back
Top Bottom