Dah!..kweli kutongoza habari nyingine..

Dah!..kweli kutongoza habari nyingine..

Big mistake ukimwambia unampenda kamwe humpat. Angalia kama unamatch nae baadhi ya vitu muhimu kama urefu na elimu pia ukijua mtazamo wake kuhusu anavyo mdefine mwanaume mzuri kwake ni yupi, mbona keshokutwa tutaona manyoya
 
HATA CM YA MCHNA TU INATOSHA SANA.
Muombe namba cm kila cku 1x3(asbh+mchana+uck) mtumie sms,hata asipo jibu, 1week ataanza kujibu naye, wik 2 ongeza ujuz zaid eg (hv gd 9t come n share my dream),
...Ngoja nitafute namba yake
 
Usiwe na haraka, msome taratibu usimtamkie fasta, jaribu uwe unacheza karibu naye ikitokea chance tu ya japo kupiga naye story jaribu kupiga story unazo hisi anapendelea kwa mfano wanawake wengi wanapenda kusifiwa kwamba wazuri balaa hata kama anajijua ni wa kawaida endelea kufanya hivyo mdogo mdogo then unaweza ukamwambia hata baada ya miezi kadhaa kupita, hii haita mstua maana anafahamu kwamba wewe umechanganyikiwa kwake mda mrefu, hii ni kwa wanawake makini tu, lakini kama ni kimeo kuna aproach kibao ikiwemo kutumia pesa tu
...umesomeka mkuu.
 
Wasaalam wakuu...nimeamini hakuna kitu kigumu kwa mwanaume kama kutongoza..yaani haina uzoefu wala nini...kuna mrimbwende mmoja amefanikiwa kuuteka moyo wangu lakini dah!..jinsi ya kumuanza inakuwa ngumu cuz sina mazoea nae..na hata nikijipanga mnyamwezi nimtemee madini..najikuta nanyong'onyea nikimuona na nashindwa kumweleza..sijui ndio udomozege unanirudia...yaani kidume mzima namwogopa mtoto wa kike...?..kweli kutongoza noma.
Muzee iyo mbona simple ..nowadays things are simple hasa kwa teknohama kama unaogopa kum-face si utumie teknohama?Tupiamo tumeseji twa utani kwanza yaani hizi za general mitandaoni uone responds yake akijibu hapo ndo pa kuanzia asipojibu tupiamo tena na tena asipojibu na hujawa na uthubutu wa kum-face achana nae huyo si chaguo lako tehe tehe heeeh.Eheee nimekumbuka kwanini usitafute comfidence via Serengeti lager wekamo ka ma tuwili au tutatu uone kama uyo bwana comfidence hatokuja.

Piga viroba 2 na gunia moja, mtokee jicho lilies jekunduuu, hapo lazima akubali kwa lazima
 
Haujapenda ww ukipenda mdomo unafunguka wenyewe. Subiri utapenda na utasema tu. Ukishindwa sana tumia mawe.

Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
 
Muzee iyo mbona simple ..nowadays things are simple hasa kwa teknohama kama unaogopa kum-face si utumie teknohama?Tupiamo tumeseji twa utani kwanza yaani hizi za general mitandaoni uone responds yake akijibu hapo ndo pa kuanzia asipojibu tupiamo tena na tena asipojibu na hujawa na uthubutu wa kum-face achana nae huyo si chaguo lako tehe tehe heeeh.Eheee nimekumbuka kwanini usitafute comfidence via Serengeti lager wekamo ka ma tuwili au tutatu uone kama uyo bwana comfidence hatokuja.

Sawa mkuu...i will try my best..
 
Big mistake ukimwambia unampenda kamwe humpat. Angalia kama unamatch nae baadhi ya vitu muhimu kama urefu na elimu pia ukijua mtazamo wake kuhusu anavyo mdefine mwanaume mzuri kwake ni yupi, mbona keshokutwa tutaona manyoya
Point noticed..
 
Mkonyeze konyeee,halafu muangalie machoni kwa huba sio chini ya dk 5 machoni mwake hata akigeuza macho wewe yafuate tu.....,halafu umtumie na kumpelekea maua(rose)
LMAO....ha ha ha teh

Imebidi nicheke!
 
Umejipanga vipi? Una master card wewe? Gari? Pesa? Basi kama vyote huna ,utasubiri sana!
 
Wasaalam wakuu...nimeamini hakuna kitu kigumu kwa mwanaume kama kutongoza..yaani haina uzoefu wala nini...kuna mrimbwende mmoja amefanikiwa kuuteka moyo wangu lakini dah!..jinsi ya kumuanza inakuwa ngumu cuz sina mazoea nae..na hata nikijipanga mnyamwezi nimtemee madini..najikuta nanyong'onyea nikimuona na nashindwa kumweleza..sijui ndio udomozege unanirudia...yaani kidume mzima namwogopa mtoto wa kike...?..kweli kutongoza noma.
Anza kumpa hela kila ukikutana nae mpe hela, muombe na no ya simu uwe unamtumia kwa mpesa, kutongoza huwezi hata kutoa pesa ushindwe!
 
Back
Top Bottom