Recent content by Kinega ment

  1. K

    JamiiForums Tanzania Movie na series unazozipenda

    Me ni mpenzi wa series za south korea na hii ndo top yangu ya nilizoziona.1.JUMONG 2.EMPEROR OF THE SEA 3.THE GREAT QUEEN SEONDEOK 4.THE LAND OF WIND 5.WARRIOR BAEK DONG SOO 6.IRIS 7.THE MOON EMBRACE THE SUN 8.SOLDIER GOD OF WAR 9.SWALLOW THE SUN 10.A MAN CALLED GOD.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni miongoni mwa wanaosumbuliwa na matatizo ya tumbo?

    Mkuu ingekuwa njema ungetaja na bei kabisa ili m2 akikutafuta awe amejipanga kabisa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Aunt Ezekiel kuwa mtupu, Wema huyo sasa, mwenye macho aone

    Ha ha ha inafurahisha kuona wamekosa vya kuuza had wanajiuza wenyewe
  4. K

    JamiiForums Tanzania Önly fans of Hiphop

    Mc au mtu chengu/mchenguaji ni yule anayetumia rap kufikisha ujumbe kwa jamii na kuweka jamii sawa,vilevile lazma awe na tungo mahiri zenye vina na mizani na uwezo wa hali juu wa mitambao kwenye midundo,MC lazima awe na uwezo wa kufanya mitindohuru kwa lugha ya kigen freestyle(tungo za papo kwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hashim a.k.a Dogo yupo wapi?

    hashimu dogo ni habar nyingine anajua sana huyu mtu duuuh
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hashim a.k.a Dogo yupo wapi?

    mkuu kwel unamkubali hashm had leo mistar ipo kichwani
  7. K

    JamiiForums Tanzania Faiza wa 5 select EATV naye ni walewale

    Ndo style ya kibongo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msanii wa bongo fleva anatafutwa kwa kuiba simu gesti

    Ina mana O-ten kafikia hatua hii kweli maisha yanachange.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sugu aibuka upya, atangaza kuendelea bifu na Ruge, Clouds

    Sugu kajikaanga mwenyewe kwanza aliamua kujichukulia maamuzi bila kuwataarifu vinega wote sasa hv apambane mwnyw asitegemee atapata support ya mashabik kama mwanzo.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Singasinga Vs Madenge

    Teh teh teh
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka jamani kwenye hili.

    Ukianza na gongo itakuwa poa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Afande sele haukomi tu !!!!

    Mgambo sele njaa zinamsumbua
  13. K

    JamiiForums Tanzania cHeKA kiDoGo tuuu, inatosha sana

    kwi kwi kwi kwi
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Vs Mwanafunzi

    Teh Teh kaz ipo
  15. K

    JamiiForums Tanzania majina ya viongozi na celebrities wetu yakiandikwa kizungu

    umetisha sana teh teh
Back
Top Bottom