Recent content by Kinduki

  1. K

    JamiiForums Tanzania Makumbusho ya taifa. Walipopigiwa simu.

    Teh teh teh teh umetisha.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Swali la leo

    Kama yakiiva yanafaa tu, kuna tatizo kwani?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungefanyaje?

    Inategemea nina njaa kiasi gani. Wa...... Wanakula mbwa, itashindikana kutumia sahani yake.?
  4. K

    JamiiForums Tanzania msaada tafadhari.

    habari zenu wadau, tafadhari naomba msaada jinsi ya kupata zilipendwa dansi za afrika mashariki.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwaliko wa sikukuu ya mwaka mpya.

    Hiyo nauli ni bora niandae sherehe ya familia ya kuukalibisha mwaka.
  6. K

    JamiiForums Tanzania ************2014************

    Same to you.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chuo kinachotoa couse ya IT.

    Asanteni wadau, ila naomba kufahamishwa zaidi kuhusu hivi vyuo vya open, nasikia mnakutana kwa mda mfupi sana ila muda mwingi unakuwa wewe mwenyewe ukiwa home. Pia naomba mnipe na gharama kama mnazifahamu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chuo kinachotoa couse ya IT.

    Habari za jioni wadau wa jf, naomba kufahamishwa vyuo vinavyotoa mafunzo ya it ngazi ya cheti na stashahada. Nitafurahi mkinitajia vyuo vilivyo kanda ya ziwa na gharama za hizo couse kama hamtojali.
  9. K

    JamiiForums Tanzania marehemu kanumba vs jb nani umemkubali

    Kanumba huwa anavaa huusika zaidi tofauti na jb.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Chomoa haraka!

    Samahani kidogo hii, kujumua ni kinyakyusa, kisafa au lugha gani?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndio benzi mpya ya Uwoya

    usibishane na msicha, pedezyee atamuonga benz.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Epiq Bongo Star Search (EBSS) sasa kuoneshwa na TBC1

    mhh!! Naomba mnitoe tongotongo jamani, maana nasikia tu hii kitu kwani kunani. Au madam Ritha anatoka na mkurugenzi?
  13. K

    JamiiForums Tanzania (TETESI)Watanzania walioko Rwanda matatani?

    Tusubiri uhakika tujadili, hatuwezi fanyia kazi tetesi kwa mambo ya msingi.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Sintah ange soma udsm ingekuwaje?

    Hivi ni kweli hakuna stori zingine, mbona mange na sinta tu.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Crazy GK na JK

    Mmhh!! Mbona kama gk kapungua sana au ndio mfungo.
Back
Top Bottom