That is how perceive things. Kanisa Katoliki ni kanisa la Roma na wala siyo kanisa la Kikristo . Ndiyo maana haliamini katika wokovu. Pole sana unayefikiri kuna kanisa la kweli ambalo ni affiliated na Roman Catholic Church.
Sijui ni kwa nini Kileo alichukua mwanamke aliyekuwa ameachwa na mume. Hayo ndiyo madhara. Hata hivyo huyu mwanamke hana malezi mema kutoka kwa wazazi wake. Utadhani alikulia mitaani. Aibu kwa wazazi wake. Kileo rudisha mke wa mtu kwa mumewe.
Kama ilikuwa huru na wa haki ni kwa nini kulikuwa na umwagaji damu? Ni kwa nini mawakala waliondolewa kwenye vituo? Ni kwa nini wafuasi wa Chadema almost kila mahali wameswekwa ndani?
Hizi ni siku kama zile za Sodoma na Gomora ambapo ulawati was the order of the day. Haya ni machukizo makuvwa mbele za Mungu. Ndiyo maana aliwaangamiza kwa moto.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.