Recent content by Kinau Michael

  1. Kinau Michael

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu anatoa machozi akiwa anasali?

    Anamaanisha wale wanaotoa machozi
  2. Kinau Michael

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu anatoa machozi akiwa anasali?

    Hallow ndugu zangu nimeulizwa swali kwanini mtu akiwa katikati ya Ibada huwa anatoa machozi? Je anajuta, ni uchungu kwa anayoyapitia au ni imani sana? Naomba nisaidieni majibu
  3. Kinau Michael

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zuchu aposti ujumbe wa pole kwa Watanzania, aombea amani

    Mungu asimame na Tanzania kipindi hiki 🤲
  4. Kinau Michael

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuboresha afya ya macho pasi kutumia dawa za hospitali?

    OK hii inaweza kutumika kwa muda gani?
  5. Kinau Michael

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuboresha afya ya macho pasi kutumia dawa za hospitali?

    Natumahi mko salama ndugu na rafiki zangu: Naomba kufahamishwa majibu ya jambo ambalo limekuwa likinitatiza kulifahamu kwa kipindi cha muda sasa. Je, naweza kuboresha afya ya macho kwa kutumia vyakula gani bila kutumia dawa za hospitali? maana nimejaribu kutumia Juice ya Karoti lakini sioni...
  6. Kinau Michael

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli jezi ya timu fulani ikivaliwa sana ni kipimo cha ubora?

    Siku hizi mtaani tunashuhudia watu wakivaa jezi za timu mbalimbali wanazozipenda na wengine huvaa zile zinazowavutia hata kama hawaipendi au kuifahamu klbau yenyewe. Sina hakika kama wengi wanaifahamu klabu ya Palmeiras ya kule Brazili kwa akina Neymar Jr na Ronaldinho Gaucho, lakini Jezi yake...
  7. Kinau Michael

    JamiiForums Tanzania Marejeo ya Simba na Al Ahly Tripoli dimba la Benjamin Mkapa

    SIMBA alishinda ugenini dhidi ya AS Vita ya Congo bao moja la Penati, amewahi kushinda mechi bao 3-1 (C.D Primeiro de Agosto 1-3 Simba SC Tanzania) so bado anaweza kushinda ugenini pia inategemea na maandalizi aliyofanya pamoja na mbinu anazokwenda nazo katika mchezo husika
  8. Kinau Michael

    JamiiForums Tanzania Marejeo ya Simba na Al Ahly Tripoli dimba la Benjamin Mkapa

    Je, Simba anaweza kumfunga AA Tripoli kwa Mkapa? Simba SC Tanzania inarejea Lupasa kwa Mkapa ikiwa inahitaji ushindi ili kutinga hatua ya makundi michuao ya Klabu Bingwa Afrika huku wengi wakiwa na matumaini kuwa inaweza ikafanya hivyo bila ubishi kutokana na rekodi yake katika uwanja huo...
  9. Kinau Michael

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Jinsi ya kuanzisha supermarket

    Thanks
  10. Kinau Michael

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Jinsi ya kuanzisha supermarket

    Habari za asubuhi ndugu, Nawiwa kuanzisha biashara ya super market naomba kufahamu kwa wale ambao wamewahi kufanya biashara hii natakiwa kuzingatia nini na nini? Ni vitu gani havipaswi kukosekana kabisa kwenye hiyo super market (Min Market)
  11. Kinau Michael

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwa kiwango gani afya zetu zinahatarishwa na bidhaa za viwandani?

    Kwa mimi nafahamu kila kitu kikizidi ndiyo kinakuwa na madhara, hizo soda, juice, energy drink nk. zikitumiwa kupita kawaida ni lazima italeta madhara kwa afya ya mwanadamu
  12. Kinau Michael

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Nchi za G20 waridhia Umoja wa Afrika kuwa Mjumbe wa Kudumu wa Jukwaa hilo

    Umoja wa Afrika (AU) umekabidhiwa rasmi kiti cha uanachama wa kudumu ndani ya G20 leo Septemba 09, 2023 kufuatia mwaliko wa Waziri Mkuu wa India Narendra Modi, hatua inayotajwa kama ushindi wa kidiplomasia kwa Modi anayejiandaa na uchaguzi wa kitaifa mwakani
  13. Kinau Michael

    JamiiForums Tanzania Kujenga na kumiliki nyumba ya kuishi ni muhimu kwa watu wa kipato cha chini?

    Kwa mimi ninavyoona, biashara inahitaji utulivu na maarifa zaidi namna ya kutengeneza faida kupitia hiyo biashara husika sasa utakuta vijana wanawekeza pesa na nguvu kwenye kujenga nyumba zao ili wakiwa huko wapate utulivu kwanza wa akili na mawazo. Ukikaa kwa nyumba za kupanga kuna muda...
Back
Top Bottom