Recent content by kinabhi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada:simu yangu haiunganishi hotspot

    Salam wakuu, Simu yangu aina ya asus inakataa kuunganisha hotspot, inajibu kuwa internet ni tatizo wakati natumia internet vizuri tu kwa kublowse. Asanteni
  2. K

    JamiiForums Tanzania Shirika la Elimu Kibaha, mkataba huu una harufu ya rushwa, uchunguzwe

    Sasa wewe umejuawaje kama wanajenga uwanja wa ndege? chuo cha doctor ni nini?
  3. K

    JamiiForums Tanzania PSPF na mikopo ya elimu

    Yamenikuta pia,kwanza kupata hizo fomu nlizunguka benki 3 ndo zikapatikana, maelezo ya PSPF na benki yanatofautiana hapo nlichoka..... Nshachuka mkopo benki nawavutia kasi tu lazima nikawape ukweli wao
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada surface window rt

    Asante mkuu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada surface window rt

    Habari wakuu! Ninapotaka kuingiza progam yeyote inanitaka niende Katika store nitafute na kuinstall kutoka huko. Je! Kuna namna ya kufanya ili niinstlall bila kupitia market store? Asante
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kodak printer esp c310

    Habari wadau! Nimepew printer tajwa hapo juu, naomba kujuzwa upatikanaji wa wino wake na ushauri mwingine kama upo. Asante
  7. K

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje unamsevu mtu kwenye simu jina lisilo lake?

    Kwani mdogo wako kakusaave nani?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje unamsevu mtu kwenye simu jina lisilo lake?

    hahahaha mapasiii.....wengi husave kutokana na tabia ya mhusika, fani yake au mwonekano
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tarehe 1 May iwe siku ya mgomo

    Wadau naamini mu wazina na poleni kwa uchovu wa shamrashamra za sikukuu ya wafanyakazi. Huwa nashindwa kuelewa pale ninapoona siku hiyo wafanyakazi wanavyokuwa na furaha katika maandamano lakini muda wa risala na hotuba mbalimbali ghafla furaha ukatika na kuanza manung'uniko ooh serikali hiki...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ukiwambia kupack basi ni moja ya mbinu wanakataa.......
  11. K

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Drogba mh
  12. K

    JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Inatia haira, inauma pia
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msisimko wa mwili baada ya kuona vitundu vidogo vidogo

    Mh nimejaribu kuzitolea macho hizo picha zilizotumwa kwamba ntazoea kama mdau mmoja alivyoshauri aisee nimeshindwa, siku yangu ishaharibika hivyo....
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msisimko wa mwili baada ya kuona vitundu vidogo vidogo

    Habari wakuu! Nimekuwa na tatizo la kusisimka mwili mpaka kufikia kupandwa na hasira za ghafla pindi nionanapo vitundu vidogovidogo. Vitundu hivyo vyaweza kuwa katika picha, rangi katika wadudu au kitu chochote. Kuna baadhi ya picha ninapoziona siku yangu inaharibika kabisa. Hili ni tatizo gani?
Back
Top Bottom