Recent content by kimuri

  1. K

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa angu hana hamu na UDSM kwa hiki alichokipata

    Duuuu huyo mwamba shule haimpendi kabisa awaachie wanae waje kutimiza hiyo ndoto yake aisee
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilinusurika kuambukizwa UKIMWI baada ya kufanya mapenzi bila kinga na muathirika

    Mkuu ulitakiwa kuokoka, ushukuru Mungu atakuwa dawa alikuwa anatumia vzr(kama alikuwa nao), chance ya kuambukiza inakuwa ndogo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Umeme wa 5,000 nimekatwa 2000. Hii haiko sawa!

    Nishakatwa 6000 mpaka sasa hivi nmenunua umeme mara tatu, system zao hazipo vzr Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa multiple selection Bachelor of Medical Laboratory na Pharmacy niende chuo kipi?

    Nenda Bugando pharmacy Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  5. K

    JamiiForums Tanzania Evining Masters Programme-UDSM

    Wakikujibu nitag Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania CVT gear box problem

    Shukrani mkuu kwa ushauri Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Mkuu haipungui kidogo nlikuwa na 700k Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania CVT gear box problem

    Mkuu ulipata solution, Nmepata shida kama hii kwenye NISSAN TIIDA, kuna siku pipe ya hydrolic fluid imepasuka kubadili fundi akashauri tutie tyu ATF fluid zile za 7000, baada ya muda gari nkaona gear za kwenda mbele hazina nguvu sometime unakanyaga accelerator inaunguruma tyuu haiendi popote...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Mkuu gearbox ya Nissan tiida unaweza kuwa nayo
  10. K

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Mkuu gearbox ya nissan tiida bei gani??
  11. K

    JamiiForums Tanzania Luteni Generali wa Jeshi la Rwanda, Jaques Musemakweli auawa kwa kulishwa sumu

    Sio kweli, aliemshinda kitine ni dr. Binilith mahenge ambaye sasa ni mkuu wa mkoa Dodoma
  12. K

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Okay ntakucheck mkuu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Moja au zote mbili
  14. K

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Mkuu hub za mbele za nissan tiida (2005) bei gani? Na master cylinder (brake) bei gani?
Back
Top Bottom