Labda niongezee ni kwanini WAISLAM WANAFUNGAMANA juu ya JERUSALEM itambulike kuwa ni ya PALESTINE ni sio ISRAEL na manufaa yetu juu ya JERUSALEM.....
1)kwanza kwenye dalili 9 za NABII MUSSA za kipindi cha MWISHO aliiweka na JERUSALEM itakuja kutambulika kuwa mji wa ISRAEL kitu ambacho hata...
Hofu ninayo kubwa juu yako .....tunakuomba utupe ripoti juu ya hiyo ishu.........inawezekana wwe n malaika ila hatujui and if not, I guess you have mental illness
Tumesema tunatakiwa kushikama kama taifa na sio kumtafuta mchawi nani.......(LOWASSA ALIKUWEPO,SUMMAYE ALIKUWEPO EITHER, why you didn't mentioned them there?)......wakati jambo hili likifumuliwa na JPM, Dr kafumu alielezewa vizuri na watu wa ukawa tena kwa kutumia UKUBWA WA ELIMU YAKE.....sasa...
Mimi nafikiri bado hujaelewa nini nimemaanisha......ni kweli CCM ndio tatizo ya hapa tulipo,lakini upande wa pili haupo serious na zile weakness za CCM...Leo hii tumekuwa tukishuhudia matatizo yeyote Yale yanapotaka kutatuliwa na RAIS basi upande wa pili hutumia kigezo cha kua CCM ndio ilikuwa...
Kwa upande wangu huu haukuwa wakati wa kuongelea itikadi za kisiasa instead tulitakiwa tujadili ni namna gani tutaweza kushinda hiii game.......na hapo ndipo tulipoona mapungufu ya TL kwa sababu ameendeleza siasa,lawama juu ya wana CCM na muda huo huo akasahau kuwa wakifukuzwa CCM wanakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.