Recent content by kimui

  1. K

    JamiiForums Tanzania Inawahusu walimu wote Sekondari na Msingi Tanzania, tafadhali soma ni muhimu sana

    swali: Hivi ni lazima mwalim ajiunge na cwt? haruhusiwi kujiunga na chama kingine?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Inawahusu walimu wote Sekondari na Msingi Tanzania, tafadhali soma ni muhimu sana

    Kinachonishangaza kwa hiki chama ni kwamba hata sikukuu ya wafanyakazi walim wanauziwa T-shirt, vitenge na kofia za kwende kwenye sherehe badala ya kupewa bure kama vyama vingine vinavyofanya, pia hawapewi hata nauli wala lunch siku hiyo, yaani ni shida tu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sijui ndio kuchoka na maisha??

    boya litakusaidia nini hapo, maana chini naona miti na vichaka
  4. K

    JamiiForums Tanzania AIBU kubwa yaikumba CCM mtaa Lindi! Mkutano hauna watu!

    Sasa wewe mtoa mada uko wapi? Mbona unatupa habari kwa ufupi alafu unatuomba tena sisi habari.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sipangi tena nyumba waliyopanga wanawake tu

    Au pengine hao wanawake walishakuwa na wasiwasi na wewe wakaamua watafute kijana akutest
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sipangi tena nyumba waliyopanga wanawake tu

    Sipati picha ulivyokua unapiga keleee. naamini utakua umeamsha majirani wote
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sipangi tena nyumba waliyopanga wanawake tu

    Duh!! jamani mwenzenu kapata tatizo nyie mnatuchekesha namna hiii.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nasikia kumetokea tukio la ajabu pale Magomeni la mchawi kuanguka kutoka angani

    Hivi hizi story ni za kweli au watu wanatunga tuu, maana inakuaje mtu anadondoka mjini na asifamike hata akiwekwa kwenye vyombo vya habari bado hamna mtu anayejitokeza na kusema anamfahamu. Au hao sio watu?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tamko la Benki kuu ya Tanzania

    picha yake haijakaa poa, naona kama tai imemkaba vile,,,macho yamemtoka
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tamko la Benki kuu ya Tanzania

    Aliyemtangulia,,,,,,,,,unamaanisha balali?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Rais Kikwete Airport: Fedheha na usaliti wa Bernard Membe hadharani

    Alienda kumpokea ndugu yake
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tegeta Escrow Account Scandal: Kumbe Masele alishawahi kufanya kazi STANBIC

    mbona haipo kwenye cv? au mwandishi ndio kakosea kumwekea baadhi ya vitu?
  13. K

    JamiiForums Tanzania JWTZ maafisa wenu Tanga wanatia aibu

    hapo mkuu unataka picha ya mgeda au ya dada wanaochapwa?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mchawi utamjua tu

    huyu kasoma nusu, hajamaliza story yote ndio maana kacoment hivi.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mahusiano na Mtoto wa Mwenye Nyumba

    Pia atafute kwanza chumba kingine kabla hajakamua maana akigundulika atapewa masaa 24 ya kuondoka.
Back
Top Bottom