Binafsi natambua kazi kubwa inayofanywa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), katika kuhakikisha mipaka yetu inalidwa na hakuna adui anayetunyemelea.
Lakini kunabaadhi ya maafisa wa vyeo vya juu jeshini waliopo kozi katika kambi ya Kange-Tanga wamekuwa wakifanya vitendo vya aibu ambavyo havifai kufanywa na maafisa hao wenye dhamana kubwa jeshini.
Baadhi ya maafisa hao wamekuwa wakitembea na dada zetu (kimapenzi ) hapa Tanga, bila woga wala kujali, japo wanahaki zao za msigi kufanya hivyo lakini uchafu huo haufai kufumbiwa macho hata kidogo kwani wameuvamia mji kwa mahusiano hayo ya kimapenzi huku wakisababisha mahusiano walioyokuwa nayo kwa weza wao kuvunjika kwa ajili yao.
Wakati maafisa hao wakifanya hayo ninaimani wameacha familia mke na watoto huko walikoto. JWTZ ifanye uchunguzi juu ya hili watabaini, kwani linashusha heshima kwa jeshi letu pendwa kwa tabia zinazofanywa na watu wachache bila kujali dhamana waliyopewa na Taifa hili la ulinzi.