Recent content by kimtx

  1. K

    Ninayempenda hanipendi nisiyempenda ananipenda

    NDOA tatizo lake ni kwamba inaweza kuwa ya mkato au ya mzuguuko mrefu. lakini yote yana tawaliwa na jambo moja tu; MWANADAMU NI DYNAMIC.UNAWEZA KUMBADILISHA..lakini wengi watakao kuvutia hawatakupenda na inawezekana pia hawakufai. katika ndoa kupendwa ni muimu sana lkn kupenda hakuna maana.ila...
  2. K

    Kwanini wanawake tunaojimudu tunaogopeka?

    mimi ni mwanamme lkn jambo hili linanisikitishasana mdada wa watu kajitahidi akawa na kila kitu kutokana na kutafuta kwingi ame expire sasa anatongoza kavulana kachovu kanakubali kwa ukata hakakumpenda jidada linakalea hdi kanaoka kwa vile jidada si chaguo lake kanaanza kutauta chaguo lake...
  3. K

    Natafuta mchumba wa kupendana nae siku zote za maisha yangu.

    ukimpata gharama za arusi nitatoa mimi
  4. K

    Story ya kweli: Niliwahi kutembea na wasichana hawa

    huna ngoma acha woga kapime watu wenyewe ulotembea nao wachache sana uliza wanaume tukwambiye.na hatutangazi.ila nakushauri rudi njia kuuu hiyo ni fasheni yakale ya watuwapumbavu
  5. K

    Ridhiwani Kikwete! Akishinda ubunge Chalinze nahama Nchi

    Mbona hujahama? Hamasasaaaaaaaa!
  6. K

    Tathmini yangu baada ya uchaguzi mdogo Chalinze

    chadema kila jambo wanaiga ccm .umeona wapi photocopy ikawa bora kuliko orijino'hawawezi kushinda hadi wajikane.
  7. K

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    huyu kakobe aliwahi kutuambia mungu amemwambia mrema ndiye rais mteule!leo ameibuka anataka laki tatu kutwa labda ninyi wajinga mnaomtetea hebbu nambieni hivi huyo MUNGU MWENYEENZI ALIVYO MTUKUFU ANAHAJA YA KUNUKUU waraka wa waebrania wa paulo akizungumza nasi! shetani mwanaume kule kachagua...
  8. K

    Tamko la awali la CHADEMA kupinga uchaguzi mdogo wa Chalinze

    RIZ MIMI NA KUPONGEZA KWA USHINDI HALALI NA WALE WANAOSEMA BABAKO AMEKOSEA WANAMAFUA YALIYOKIMBILIA UTOSINI YAKASABABISHA UGONJWA WA UKAMASI NDANI YA UBONGO.Weka mikakati na wamasai wanaoharibu MBUGA waondolewe mara moja ningekuwa nahusika wafugaji wote SELUUUU.
  9. K

    Naombeni ushauri: Ananiacha kisa sijui kusex

    acha kupendapenda subiri upendwe wewe umependa mpuuzi kuanzia leo achana naye.subiri upendwe
  10. K

    Ndoa ngumu jamaani, ushauri tafadhari

    wewe leme unaakili bora. huyu ana alternative nyingi 1kulipuuza hilo maisha yakaenda 2 na yeye kwenda kutiwa mimba lakini epuka michepuko.tatu kumtukana malaya aliye mrubuni mumewe 4 kusaini mkataba upya na mumewe5 kununa kwa kipindi 6 kubadili life style na 7 kumtaka mume aombe radhi. kwa...
  11. K

    Tamko la awali la CHADEMA kupinga uchaguzi mdogo wa Chalinze

    hawa chadema wananiudhi saaana.wanafanya mambo kitoto halafu wanailaumu ccm.siku hizi mambo kwa TENDA tupeni tenda kama mnataka kushinda next general election. kelele zenu zinatuchefua.INAKUWAJE WALOANDIKISHWA NI 90000 KATI YA HAO CCM NI 25000 LAKINI NINYI MKASHINDWA KUWASHAWISHI HATA 40000...
  12. K

    Jamani kama kuna dawa ya kuondoa bomba mvua wakati wa *******

    kuna mwingine anarusha mkojo kwa utamu.kuna mwingine kunakuwa bwawa kwa kuku tamani kuna mwingine ana mlenda mwingi mwingine anawahi kufikia kilele.wewe wako ni yupi. awe na kijitaulo cha kufutia mkiendelea mfululizo baada ya 30 minutes yata kauka
  13. K

    Mfanyabiashara matatani kwa Kujipiga Risasi mwenyewe baada ya Kupigwa Kibuti na Mkewe,Tabora

    kweli gae la kutapikia hakuna baya!!!!!!!huyo dada anakipya gani cha kulilia hadi ujiue???mtaani hawaoni???
  14. K

    '' mke wangu ame-lock simu yake kwa security code " .... Nahisi kitu ila nashindwa mwambia!!

    Hapo una alternative tatu;kwanza MTANDIKE KISAWASAWA HADI PASSWORDS ZITOKE ZENYEWE AU MSAHAU KAMA YUPO HADI ATAKAPO KUMIS AU MUAMRISHE AONDOE PASSWORD AKIKATAA ATAWANYIKE WASICHANA WAZURI WAKO FOLENI BADO KACHUKUE!!!
Back
Top Bottom