Recent content by Kimpyempye

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

    Nilipitia hii hali mwaka flani. Nilishauriwa nisipige. Kwa ujeuri nikapiga wakati sijapona vizuri.Nilijuta
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Simba SC kwa kushinda ngao ya jamii 2023/2024

    Sio Genta kweli wewe?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Hii game inatamanisha. Ingia kwenye game sasa ndio utajua utamu wake
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Yeyote anayemjua mtaalam anayeweza kumrejesha ndugu yetu aliyefariki kifo cha kutatanisha

    Wewe unasema wataalamu wamemtaja Baba Mzazi. Halafu tena unakuja kwetu kukusaidie kupata wataalamu wengine!Mkuu unazingua. Na mimi nikisem ni mtaalamu na nimegundua muuaji ni wewe ntakuwa nasema urongo?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu na Shinyanga Girls

    😂
  6. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Electric shower itatumaliza, serikali itolee ufafanuzi

    Mwanaume utaogaje maji ya moto?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wa juu wa elimu wamelogwa sio bure

    Mambo mengine ni ujinga mtupu. Unayasikiliza unayaacha kama yalivyo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dunia ina maajabu yake

    Mkuu kwani sisi Wasabato tumekukosea nini ndugu yangu?
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii siku ya Tatu harufu ya uke bado haitoki kwenye pua yangu shida nini?

    Bwege wewe
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

    Aisee uko fasta umeniwahi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tuungane Kwa pamoja kuwasemea walimu, wanakufa na njaa huku

    Si kweli.Haujui ualimu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania SOLD: Toyota Vitz New Model (DMZ) Inauzwa TZS. 8.7m

    Mwanadamu ni kiumbe mwenye dharau sana
  13. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wa juu wa elimu wamelogwa sio bure

    Wanalinda vyeo vyao. Hata huyo Mkurugenzi mpya sijui Mayombo sijui nani analinda cheo chake. Walimu wakishapata madaraka makubwa wanakuwa wanoko na wabinafsi. Kazi kulazimisha visivyowezekana na kutishia wengine tu ili waonekane wamefanikiwa na kuendelea kufaidi mishahara yao minono na maposho...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

    Kuna jirani yangu ni mjinga mjinga hatuelewani sana. Leo nimeota ametuma majambazi wamekuja kuchukua mkweche huu. Nilivyostuka nikakuta ni ndoto tu nimeshukuru sana.
Back
Top Bottom