Katika masuala ya msingi hatuangalii mtu mmoja ila tunaangalia huyo mtu anasimamia nini na kwa nini. Sheikh dilunga anazchozungumzia katika hiyo clip uliyoiweka ni tafsiri ya aya ya Qur'an tukufu aya ya 178 na 179. Ukimzungumzia yeye tu umekosea kwa kuwa alichokisema hajatoka ndani ya Qur'an...
You have spoken well, I have always been in deep belief that, "If was not for the rough political games by Mr. Keenja, Dada Ndera could have been the well known figure in politics since the 2005 general election at Ubungo". She is capable, and really knows what she is doing. Big Up-Ndera.
Tusiwalaumu, shule inachangia kwa kiwango kikubwa sana kwa hawa jamaa. Aliyetangaza kupanda kwa viwango vipya vya nauli ni Daktari wa kusomea, siyo wa kupewa, ni mtu makini na ambaye hana rekodi ya kushindwa katika wizara yoyote ile ingawa kimajungu inaonyesha huwa anapewa wizara usika ili...
Kufikiri ni kazi, na ni kazi ngumu sana. Si kila mtu anauwezo wa kufikiri kwani kuna wanaofikiri kimasaburi. Ukiwa unafikiri kifikra thabiti, utampenda hata adui yako kwa pumba atakazoziongea kwa kuwa zitasaidia kukufanya ufikiri.
Amejitahidi, ila tuache siasa.Ninadhani ingekuwa busara kama dada yetu mpendwa azingatie yafuatayo.
1. Ndani ya jamvi, tunajadili matatizo ya kitaifa na siyo kuzungumzia perceptions za mtendaji mmoja katika jimbo.
2. Wengi wa wanachangia humu si wakazi wa jimbo la kilombelo, hivyo hatuwezi...
I accept your proposal provided haina sanctions za bwana David Cameroon. Ila usijaribu kutoa kibanzi kwa mwenzio wakati unaboriti jichoni mwako. The end.
Unapotoa, utoe kwa kuwa unaguswa na unachoamini unachokitolea. Usitoe kwa kutaka watu wakusifie. Sidharau walichofanya Chadema, ninakitambua na kuheshimu, ila tusifanye kutoa kwa CCM, Chadema, TLP, NCCR-Mageuzi ama chama chochote kuwa ni kigezo cha kusema hiki chama ni kizuri na kile ni kibaya...
Wametoa ili kujionyesha, naolewao wafanyao hivyo kwa maana watahukumiwa. Pia uelewe ni kwa kuwa wanautafuta uraisi ndiyo wanafanya hivi, na hii 25m si bure wapo kwenye kampeni. Jifunze kufanya analysis ya vitu si kukurupuka tu.
Habari za kuaminika ni kuwa zaidi ya watu 40 wamefariki dunia baada ya matokeo kutangazwa, hiyo ikiwa ni katika mapigano ya askari wa kutuliza ghasia na wananchi, na wengine zaidi ya 3000 wameshaanza kuyahama makazi yao kama wakimbizi wakihofia machafuko yanayoweza kutokea ndani ya nchi hiyo.
Who are they and what do they want?
What's it all about? The New World Order is not a 'conspiracy' in the strictest
sense of the term - it is an agenda. The agenda is orchestrated by a power elite
that thinks it has the divine right to commandeer total control of your life.
But who are...
Sikupenda kuchangia, ila nadhani kuna kitu ambacho inabidi tuwekane sawa. Unapozungumzia suala la uongozi wa nchi unazungumzia kitu ambacho ni very sensitive. mimi si mshabiki wa siasa za kutukanana ila ni mfuasi wa constructive and scientific politics. Mtoa mada, amefanya analysis na kugundua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.