Recent content by KIMBUSHI HOME

  1. K

    JamiiForums Tanzania PhD ya Dkt. Rais Magufuli iko sahihi, uthibitisho huu hapa

    Sasa kijana mbona hujabainisha Phd ya mtukufu ni ipi hapa.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naiona CHADEMA ikifutika katika ramani ya siasa za TZ

    Naona baada ya kile kikao pale magogoni kuisha naona ka mmefunguliwa vijana wa lumumba fc.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jarida la New African lamtaja Rais Magufuli ‘Person of the Year’

    Vijana wa Lumumba fc wanahangaika kweli yaan vp Forbes alishachukua au mlienda mchukulia?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Mbowe kwa kuendelea kuitafuna CHADEMA

    Mpaka leo hii unawaza ukabila halafu unajiita kijana au mtanzania ndo akili za Wana ccm kutumia masaburi kufikiri.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Paschal Mayalla: Matangazo ya kumnadi Magufuli Star TV yamelipiwa kiasi gani na CCM?

    Hata mm nimeliona hilo hapo ndipo tunapoona chama tawala kimekosa hoja na kuanza kutumia vyombo vya habari kama star TV kuandaa propaganda za kishenzi.
  6. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA wapigwa mbele na nyuma na kila kona

    Pumba za lumumba bna
  7. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Lowassa wajisalimisha CHADEMA, Waomba CHADEMA kumpokea Lowassa

    Mkuu tokea nimeanza kusoma comments zako suala LA ukabila na udini unavipa kipaumbele sana. Plz try to change hii ni Tanzania yetu sote hvyo vitu weka pembeni jibu hoja.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Dr. Willbroad Peter Slaa
  9. K

    JamiiForums Tanzania NEC yapiga marufuku CHADEMA Kuhamasisha Uandikishaji

    Kwel NEC na ccm Yao wanaelekea kubaya sasa sioni dhambi/kosa wanalofanya chadema kuhamasisha watu si washukuru wamesaidiwa majukumu. Mbona wao NEC hatuoni wakihamasisha wananchi ndo waseme chadema inawaingilia katika majukumu Yao.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba ajitosa urais UKAWA

    Kwan wewe mwana magamba mambo ya UKAWA yanakuhusu nn? Hatuhitaji kura yako kampe lowassa .
  11. K

    JamiiForums Tanzania Anguko kuu la CCM, dalili kuu ya kwanza!

    Magamba yanaruka na kukanyagana mwaka huu Chama Cha Mafisi wanalo kila sehemu everything is tight.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Bandari watumia bilioni 9.6 kikao cha siku moja

    CCM ni dudu kubwa la kutisha ambalo bila umoja wetu hatuwezi kuliuwa na tukiacha mtu mmoja mmoja anapigana nalo anaweza kujeruhiwa au hata kuliwa na DUDU ccm.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tume ya taifa ya uchaguzi;chadema kutumia helkopta siku ya upigaji kura ruksa

    We kweli hamnazo kwanza inaelekea hujawahi kupiga kura na wala sheria za uchaguzi huzijui that y unakuja kuandika utumbo wako hapa wa misukule ya Lumumba.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr. Slaa
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ni bora CHADEMA ife kuliko kuvuliwa uanachama

    Umetokea Chama Cha Mapepo na ofisi zenu kuu zipo Lumumba ndio maana mnajiondoa ufahamu.
Back
Top Bottom