UKAWA wapigwa mbele na nyuma na kila kona

Kokolo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2008
Posts
2,021
Reaction score
3,354
Kwa jinsi yanavyoonyesha Ukawa labda wabadili style yao, la sivyo watabaki kupigwa mbele na nyuma na kila kona,

1: Kutumia chopper, CCM wameona udhaifu wa mgombea wa ukawa kwamba hawezi tembea muda mrefu na gari bila sindano za kubust, hivyo kulegeza kabisa chopper inabidi ituwe mbali kabisa na wananchi, pia hairuhusiwi kwenda sehemu ambapo hakuna network za anga hivyo Lowasa itabidi atumiye gari hapo ndo watamumaliza kabisa, usione ajabu akafanya mikutano miwili akakimbizwa ujerumani kwenda kufanyiwa check up. Ndo maana beki no 2 aka Mzee Zero Sumaye yuko pale karibu.

2: Kufuta maandamano ya vijana wa Ukawa sasa hivi ukikutwa zaidi ya watu kumi ni lupanga tu,

3: Sasa hivi CCM ina wabunge 6 Ukawa 0

4: Fedha za Ruzuku wajanja wa Ukawa wameshalamba asubuhi tu ndo maana mkutano wa ufunguzi wa Ukawa umechelewa kuanza, Lowasa ameanza kuishiwa baada ya kutoa fungu kubwa ili kuachiwa kiti.

5: Speech za Lowasa ni dakika 3-8 hiyo itamwondolea imani kwa wapiga kula wake, hata mike mbili hawezi kushika kwa mkono mmoja kwa dakika 5 tu. Angalia hata Geuka yake utafikili kapigwa loba ya shingo, chunguza mtu ambaye anaumwa stroke halafu angalia Lowasa uone kama kuna utofauti.

6: Kuanzia Mwezi ujao mpaka uchaguzi Redio nyingi za mikoani CCM watazinunua kurusha marudio ya mikutano ya chadema wanavyomkandya Lowasa: Kama Dr. slaa, Mbowe, Msigwa, Mzee Zero/aka-Sumaye Mnyika, Lissu wanavyomshambulia Lowasa Kwamba hafai kuwa kiongozi wa nchi. https://www.youtube.com/watch?v=sc-xA_49dck
https://youtu.be/cvhglzdnp3g,
https://www.youtube.com/watch?v=AddzBZS1Eu8
 
Kwa jinsi yanavyoonyesha Ukawa labda wabadili style yao, la sivyo watabaki kupigwa mbele na nyuma na kila kona,

1: Kutumia chopper, CCM wameona udhaifu wa mgombea wa ukawa kwamba hawezi tembea muda mrefu na gari bila sindano za kubust, hivyo kulegeza kabisa chopper inabidi ituwe mbali kabisa na wananchi, pia hairuhusiwi kwenda sehemu ambapo hakuna network za anga hivyo Lowasa itabidi atumiye gari hapo ndo watamumaliza kabisa, usione ajabu akafanya mikutano miwili akakimbizwa ujerumani kwenda kufanyiwa check up. Ndo maana beki no 2 aka Mzee Zero Sumaye yuko pale karibu.

2: kufuta maandamano ya vijana wa Ukawa sasa hivi ukikutwa zaidi ya watu kumi ni lupanga tu,

6: Kuanzia Mwezi ujao mpaka uchaguzi Redio nyingi za mikoani CCM watazinunua kurusha marudio ya mikutano ya chadema wanavyomkandya Lowasa: Kama Dr. slaa, Mbowe, Msigwa, Mzee Zero/aka-Sumaye Mnyika, Lissu wanavyomshambulia Lowasa Kwamba hafai kuwa kiongozi wa nchi.

Kati ya ngiri wakubwa ni wewe
 
Taarifa za chini chini ni kwamba Magufuli mwenyewe ana mpango wa kumpigia kura Lowassa, sasa mnaosema mtampigia kura Magufuli mnaonekana vituko kwa kweli.
 
Kwa jinsi yanavyoonyesha Ukawa labda wabadili style yao, la sivyo watabaki kupigwa mbele na nyuma na kila kona,

1: Kutumia chopper, CCM wameona udhaifu wa mgombea wa ukawa kwamba hawezi tembea muda mrefu na gari bila sindano za kubust, hivyo kulegeza kabisa chopper inabidi ituwe mbali kabisa na wananchi, pia hairuhusiwi kwenda sehemu ambapo hakuna network za anga hivyo Lowasa itabidi atumiye gari hapo ndo watamumaliza kabisa, usione ajabu akafanya mikutano miwili akakimbizwa ujerumani kwenda kufanyiwa check up. Ndo maana beki no 2 aka Mzee Zero Sumaye yuko pale karibu.

2: kufuta maandamano ya vijana wa Ukawa sasa hivi ukikutwa zaidi ya watu kumi ni lupanga tu,

3: Sasa hivi CCM ina wabunge 6 Ukawa 0

4: Fedha za Ruzuku wajanja wa Ukawa wameshalamba asubuhi tu ndo maana mkutano wa ufunguzi wa Ukawa umechelewa kuanza, Lowasa ameanza kuishiwa baada ya kutoa fungu kubwa ili kuachiwa kiti.

5: Speech za Lowasa ni dakika 3-8 hiyo itamwondolea imani kwa wapiga kula wake, hata mike mbili hawezi kushika kwa mkono mmoja kwa dakika 5 tu. Angalia hata Geuka yake utafikili kapigwa loba ya shingo, chunguza mtu ambaye anaumwa stroke halafu angalia Lowasa uone kama kuna utofauti.

6: Kuanzia Mwezi ujao mpaka uchaguzi Redio nyingi za mikoani CCM watazinunua kurusha marudio ya mikutano ya chadema wanavyomkandya Lowasa: Kama Dr. slaa, Mbowe, Msigwa, Mzee Zero/aka-Sumaye Mnyika, Lissu wanavyomshambulia Lowasa Kwamba hafai kuwa kiongozi wa nchi. https://www.youtube.com/watch?v=sc-xA_49dck
https://youtu.be/cvhglzdnp3g,
https://www.youtube.com/watch?v=AddzBZS1Eu8

Thiz gay is on fire
 
Watu wanakula choo chao lazima wapate kipindupindu mwaka huu
 
Mpaka sasa ukawa washamaliza kampeni, watz washaamua na wanaona oct 26 mbali
It is very true.

Hata hili jaribio la maccm kutaka kuzuia uwanja wa Jangwani usitumiwe na Ukawa kuzindulia kampeni zake jijini Dar, wakati wenyewe CCM waliutumia uwanja huo huo kwa kuzindulia kampeni imesababisha Umma wote wa watanzania uanze kugundua tafsiri ya goli la mkono la Nape na hivyo wajikute wanawaonea huruma sana Ukawa na kuwalinganisha na watoto yatima.

Kutokana na hali hiyo CCM kwa kutokujua wamejikuta indirectly wanawapigia kampeni Ukawa, kwa kuwa hata mamiloni ya wananchi ya wapiga kura waliokuwa undecided kuhusu nani wa kumpigia kura ifikapo Oktoba 25 mwaka huu wanajikuta sasa wanachukua uamuzi wa kuwapigia kura Ukawa kwa kupiga kura za huruma kwa mnyonge'Daudi' anayepambana na dubwasha linalotisha la 'Goliath'
 
Upuuzi ni upi hapo kamanda. Tuvumilie tu ila na sisi tujenge hoja zenye mashiko. Yumeyataka wenyewe. Tumeambiwa na Makongoro Nyerere tumetaka wenyewe kucheza mchezo wa chandimu. Tukubali matokeo

Kwani na wewe umeshahamia UKAWA kucheza chandimu?! Ninavyojua wewe ni mshabiki wa CCM...
 
Back
Top Bottom