Kuna boya mmoja we just met on IG tukawa marafiki kaanza vibomu vya hapa na pale......
Sometimes ananiomba nimwazime 200k akachukue mzigo k/koo atanirefund nikawa nampa ila sijawahi kurudishiwa[emoji847][emoji847][emoji847]
Maisha yakaendelea bhana, yule 'she' alikuwa amezalishwa na jamaa na...
Kuna hii PISI moja nilikutana nayo Bar nikajua "ipo location" (mafundi wamenielewa)
basi nikaiomba namba ikazingua simu imezima na haijakariri kidume ikabidi niiandikie namba yangu and it was my first day kuwepo kwa ule mkoa nilienda kikazi,.....,.
demu nilimwelewa cuz"fuso ilikuwa imefunikwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.