Masuala ya mauaji kama haya makandokando mengi sana - mikosi, laana kwenye koo, n.k.
Roho ya uuaji - katika ulimwengu wa roho haiji kirahisi rahisi.
Wenye busara walipoweka kuua bila ya kukusudia waliona mengi.
Ninachosikitika zaidi ni pale ndugu watakapitka kufuja mali. Ni vigumu sana ndugu...
Wanawake waache kutumiwa na maadui zetu - wapinzani wetu, waache tamaa ya kumiliki mali, hizi sheria zilizotungwa kwa shinikizo la hao LHRC (wanaharakati) zimeanza kulipuka kwa vitendo.
Miaka ya nyuma migogoro ya ndoa iliamuliwa kwa busara - wazazi/walezi kuonya vijana wao bila upendeleo; hivi...
Utangulizi tu unaonyesha chuki dhidi ya mwanaume na kuegemea upande.
Aya ya 5, 6, 7 na 8 zina ukinzani makubwa zenyewe kwa zenyewe.
Hata kama wewe ni ndugu wa marehemu chuki haijengi
Mbaya zaidi huku mtaani mnaonelana kama wauaji.
Tena hicho kiasi ni kikubwa sana! Tena sana!
Waambieni wajunior wenu, damu za kuua wanyonge, hasa 29/10 zitawatana mpaka kizazi cha nne
Sasa waone nini ndg? Kwa akili ya kawaida tu ungeonyeshwa nini vile vipande vya nyama.
Kumbuka mpaka jana bado zoezi la kuchambua vipande vya miili ili kutambua marehemu lilikuwa linaendelea.
Anyway! Je msiba huo utamkumbusha kutendea watu NEMA???
Na huko KKKT ni Malasusa na Shoo tu ndio wanaofanyiana substitution miongo nenda rudi.
Na kwa sasa wanaunga mkono sirikali kwa kila hila, nayo inawaunga mkono
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.