Kweli kabisa mkuu umesema kweli, leo hii pia tunaona kazi hiyo ikiendelezwa na vijana wengine kule oysterbay kama sikosei. Kumbe muasisi wake ndo huyu said, je bado yupo?. Mi pia napenda kujifunza kazi hizi za mikono, je naweza jifunzia wapi mkuu??
Kutokana na kelele ambazo tumezizoea hasa si tunaokaa uswahilini tanzania, hii sheria haiwezi kuwa implemented, labda maeneo kama oysterbay, mikocheni. Lkn yafaa itumike kwenye nyumba za kupanga itafaa.
Nimekuwa nikajiuliza kuna siri gani kutumika hawa washehereshaji kwa watia nia. Kwa Edo alikuwepo Kibonde, jana kwa Sumaye alikuwepo kubenea n.k n.k. Naomba mnijuze au nyie mnaona hili limekaaje, thanks.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.