Kwanini Mabomu yakilipuka tunatakiwa kulala chini?

Kwanini Mabomu yakilipuka tunatakiwa kulala chini?

Mkuu bomu hasa la kutupa kwa mkono limeundwa kwa reactors,,na reactor hizi huripuka zikiwa disturbed. Ndio maana unaichomoa firing ring/pin kisha unalitupa,likiangua reactors zinalipuka baada ya mstuko. Kwa kawaida bomu/guruneti la mkono linapopiga chini hujiinua kwa reactors na wataalamu wamenasema kwa sababu limetengenezwa kuua mtu basi hujiinua kwa umbali wa mita 1.5 feet 5+.

Bomu linapojiinua linalipuka kupasua vipande ambavyo vinaambatana na moto/baruti/nuclear kuweza kuharibu/kuteketeza lolote. Yapo mabomu ambayo huripuka mara moja,na yapo yanayoripuka zaidi ya mara moja. Yaani linaripuka kutoa vipande,na vipande hivyo huripuka hivyo hivyo na ndio ukubwa wa athari kwa bomu husika. Turudi kwenye hoja yako.

Unashauriwa ulale chini sabanu bomu hujiinua linaporipuka,na kwa kawaida kama ni la kurusha basi litajiinua kuanzia mita 1 na kupasuka. Linapopasuka vipande ndivyo vinavyokuua,vipande vinavyolipuliwa na reactors za baruti/nyuklia. Vipande hivyo ndivyo vinavyokuua maana ni zaidi ya risasi.

Ukiangalia bomo/guruneti limeundwa vipande vipande kama gamba la kobe,,vile vipande vya vyuma hupasuka na kurushwa na baruti/kemikali/nyuklia na ndio silaha yenyewe. Hivyo ukilala chini vipande vina asilimia 90 za kukukosa na 10 za kukunguza tuu.
 
kwani ukivaa nguo ngumu ngumu vitawezaje kunijeruhi?

Kwa nguo nguo ngumu unamaanisha nini? Bomu linaua mtu alie ndani ya nguo za Kevlar bullet proof material, linaharibu gari za deraya zisizoingia risasi wala rpg, linabomoa zege gumu la upana mkubwa n.k
 
Kwa nguo nguo ngumu unamaanisha nini? Bomu linaua mtu alie ndani ya nguo za Kevlar bullet proof material, linaharibu gari za deraya zisizoingia risasi wala rpg, linabomoa zege gumu la upana mkubwa n.k

Mkuu kumbe mabomu noma sana
 
Back
Top Bottom