Recent content by KIMBEIYE

  1. K

    Pato la Mtanzania lapanda

    Labda vipato vya hao mafisadi ndivyo vilivyopanda lkn kwangu haipo hivyo so wapeleke mbele upuuzi wao!
  2. K

    Padri Katika Njama za Kumuua Mpenzi wake...

    Na hata kwenye ushoga pia wamezidi!
  3. K

    Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    Kova anasema??? haya bana endelea kumsikiliza huyo Kova wako!
  4. K

    Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    Mungu jaalia waokolewe wakiwa hai, sema amiin!
  5. K

    Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    ...Mungu walinde waliomo ndani watoke salama, sema Amiin!
  6. K

    Jamani hivi nyinyi watanzania

    Navumilia kuwa Mtanzania!
  7. K

    Hussein Tuwa vs Eric Shigongo (Riwaya)

    C mna msemo wenu nyie kwamba "ndefu tamu, fupi inakera!", imekuwaje tena?
  8. K

    Picha!Ha ha ha,eti Diamond na Obama

    nasikia kuna tetesi humu jf, kwamba na wewe ni "nyumbandogo" kweli hizi habari?
  9. K

    Umenena Ukweli Ben pol

    au NASIBU DOMO!
  10. K

    Picha!Ha ha ha,eti Diamond na Obama

    Kwi! kwi! kwi! kwi! kwi! kwani hiki kiumbe kinachopumuliwa mgongoni ni cha jinsi gani?
  11. K

    Mwanamuziki mkongwe Kabeya Badu amefariki

    Rip Kabeya Badu!
  12. K

    Waziri Mkuu Unawaonea Wadogo

    Nyani haoni kundule!
  13. K

    Kwa nini mkewe IDRISSA ABDUL WAKIL hatembelewi?

    Jaman huo ndiyo u~great thinker kweli jaman?? nahis jf imevamiwa na wahuni, badala ya kujibu hoja ninyi mnamshambulia mleta hoja! huo c uungwana wakuu, tubadilikeni!
  14. K

    Panya wananisumbua

    Acha masihara mkuu! hivi hujui kuw "mke wa mtu ni sumu" hiyo ni sumu tosha kwa hao panya wanaomsumbua, teh! teh! teh!
Back
Top Bottom