Kwa taarifa hiyo inaonyesha hata ile kumtembelea, kujulia hali haipo. Si lazima msaada wa kipesa, Tupendane maana nasi tuwastaafu watarajiwa. Serikali inatakiwa iwe na kitengo cha mahusiano kwa wastaafu ili kufuatilia afya/hali ya wastaafu wake, bado ni hazina kubwa kwa kutoa ushauri.
Kwa nini waandishi wanafikiri ni sahihi kwa msemaji wa TANESCO kusema lolote kuhusu afya ya mtu? Hususan kama mtu mwenyewe si mfanyakazi wa TANESCO?
Kwa nini kuna mentality kwamba ukifanya kazi sehemu itakuhudumia mpaka kufa?
Pole sana wana familia!hivi hakuna kipengele kinachoweza kumsadia tokea Tanesco?Mramba tafadhali fanya uungwana japo kidogo tu!
inaonekana ktk jamii yetu kuna tatizo ... lakini tunashindwa kueleza tatizo lilivyo na jinsi ya kulitatua... mimi nilidhani mtoa habari angelisema kuwa walikwenda kuuliza kwenye taasisi za social security , ambazo ndo haswa zinatakiwa zitulee tupatwapo na matatizo.
ki ukweli kwa tanzania ... kila aliye mkurugenzi hayaoni haya kwani wakati wa ukurugenzi yeye anakuwa kully covered hata kuweka meno ya gold kwa gharama za serikali au shirika. tunasahau tukistaafu hatuna mlezi tena. sasa wakati umefika kwa sisi sote tuangalie namna gani tunaaandaa maisha yetu haswa kwa kipindi tukiwa uwezo wa kuzalisha umepungua au kupotea
Pole Zake Mzee...Very sad!
BTW, nyie mlitaka TANESCO waseme nini? Wewe ukistaafu taarifa zako ziende kutafuta nini ofisi isiyo yako tena, au ofisi ni ya Baba yako? Watu wana kazi za kufanya, siyo kufuatilia aliyekuwa mkuu wao anafanya nini sasa hivi. TANESCO hawajamkana Luhanga, wao wamesema hawafahamu kama anaumwa, na huyo mwandishi wa habari alienda kutafuta habari za ugonjwa wa Luhanga TANESCO!!!!!?...Hata Luhanga mwenyewe hatafurahishwa na kitendo cha mwandishi huyo.
Msemaji wa Tanesco ni Babra Hassan?
NDUGU ZANGUNI
NAOMBA NIANZE KUWAPA POLE FAMILI YA B.LUHANGA ALIEWAHI KUWA MKURUGENZI WA TANESCO KWA
KUKATWA MGUU WA PILI KWA SABABU YA KISUKARI HUKO INDIA
B.LUHANGA ALIKUWA MKURUGENZI WA TANESCO NA BAADA YA KUSTAAFU ALIANZA KUSUMBuLIWA NA KISUKARI
ALIPATA SHIDA SANA PALE ALIPOMPOTEZA MWANAYE...
MH LUHANGA ALIENDA INDIA KUTIBIWA ZAIDI HUKU AKIWA AMEKATWA TAYARI MGU MMOJA NDIPO ILIPOFANYIKA
UAMUZI WA KUKATA MGUU MWINGINE
HAA HIVYO ALIPOULIZWAKAIMU MKURUGENZI WA TANESCO KUHUSU HALI YA MZEE LUHANGA ALISEMA HAJUI CHOCHOTE ANACHOJUA ALISHAASTAAFU SO HANA MAWASILIANO ZAIDI..MSEMAJI WA TANESCO BBR HASSANA NAE ALISEMA HANA TAARIFA YOYOTE KUHUSU MZEE LUHANGA ZAIDI YA KUJUA KIPINDI FULAN ALIKUWA ANAUMWA
MUNGU AMPE UVUMILIVU NA KUKUBALI HALI HALISI ALIYONAYO MZEE WETU LUHANGA NAJUA KWA FAMILIA NI VIGUMU LAKINI NI WAKATI WA KUWAOMBEA WOOTE WANAOUMWA UGONJWA HUU MUNGU AWAPE KUWASITIRI NA MAUMIVU MAANA KISUKARI IMEKUWA HATARI KULIKO HATA MAGONJWA MENGINE