Recent content by KIMATIRA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sasa siyo siri tena ni Vita vya Magufuli na Makonda dhidi ya Mawaziri wa CCM!

    duh. wapinzani tunapumua sasa. ngoja pembe ziumane.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Gwajima limenipa picha niliyoitarajia

    katika watumishi wa Mungu wapenzi kwenye biblia hakuna ambae hakumchapa mwanamke aliyekuja kizembe.tena Daudi aliua mume ndo kazalisha mkewe. onyesha vyeti hizi ngonjera hazisaidii.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

    ngojeni tumalize furaha ya ushindi wa TLS jumanne tumalize mahakamani then ndo tuje kwenye personal issue na huyo Dada atueleze kwa nini aliingilia Nyumba ya mama gwajima?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    unachaguliwa na wasomi tupu unapata Urais kwa 88% lakini bwana yule alipata 54% kwenye vilaxa+mbumbumbu+kajamb nani?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sasa Bunge limekuwa kama idara ya Ikulu. Haliisimamii tena Serikali!

    ukiwa huna hela na ukajifanya unazo kwetu tunakuona chizi na ukiwa huna Nyumba lakini ulakusanya korokoro zako chini ya mti na kupaita nyumbani kwako tunakuona kichaa tu. by the way kivyovyote life linasonga.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hii ya TBC imekaaje...??

    hiki si kiwanda cha sukari kipo moshi.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sophia Simba: Nitabaki kuwa mkereketwa mwaminifu wa chama cha mapinduzi

    hiki chama hakina democrasia. yaani Mimi kuamua kumuunga mkono mgombea mmoja wa chama changu niitwe msaliti nakihujumu chama? kina Sofia wakienda mahakamani wanashinda na kurudishiwa uanachama wao. lowasa waliyempigania sio huyu wa chadema. ni haki kwao kumuunga mkono mgombea wa ccm.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

    tumekula ARV feki miaka mingi hadi tumeota manyonyoo leo ndo wanamfukuza?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wapo wanaomsubiri Lema kumuona tu; ukipendwa unapata nguvu!

    mi nipo njiani hapa fire nashuka hapo sasa hivi. vuta nikuvute njoo hapo sokoni chini ya jeti la yadi ya mtei bus upige castle moja baridi. utanikuta nimevaa shati la mistari ya pink.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Usalama na maendeleo ya Rwanda chini ya Rais Kagame

    uliwahi kwenda Libya mwanzoni mwa miaka ya 90 mpaka mwishoni mwa 2000? kama bado nakuambia wewe ni mchanga sana kwenye masuala ya watu na maendeleo. stay turned .
  11. K

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Kibonde wa Clouds FM ni hatari kwa redio hiyo

    akiinukiwa mi sipo.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wetu anahitaji Mshauri Nasaha. Anatembea haoni pa kushika, anapapasa usiku wa giza nene

    wilson kabwe amelala.yule mama aliyeitwa kichaa mbele ya luninga sijui familia yake inamchukuliaje? watu wamefukuzwa kazi na kupoteza mafao yao. mi nashauri akishafika kiwango hicho atasamehewa.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Dr Magufuli, aipongeza Serikali ya Msumbiji kwa kuwafukuza wahamiaji haramu

    ila kwetu wahamiaji haramu wa kichina wanapeta
  14. K

    JamiiForums Tanzania Usikose jumapili ibada live

    duh hii si ya kukosa. fainali hii
  15. K

    JamiiForums Tanzania Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

    Nyumba ikiisha mnanikabidhi wakati naendelea kulipa?
Back
Top Bottom