Lala tena uote, jamaa anapiga kazi tu kutimiza aliyoahidi. Kwa mujibu wa katiba mkataba wake ni awamu moja tu (5 yrs), hiyo awamu nyingine unaiota wewe.
POINT, hao wabishi waende huko Kenya na Ethiopia waone hili. Kenya wameanza kulalamika, jamaa wametoa mkopo, wamejenga, wamewauzia locomotives na wagons, na sasa wataendesha reli kwa miaka 10 ndipo waikabidhi serikali ya Kenya project, the same kwa Ethiopia-Djibuti Railway.
Pili reli yetu ni...
Wewe hujasikiliza vizuri, mbona mnamfanya rais kama ni mtu asiyejua kila kitu? hapo amesahihisha kabisa kwamba ktk agency za Africa Tanroads ya Tanzania ni ya tatu. Acha majungu.
Ni kweli Kristian nasikia bongo sasahivi KIMENUKA. Hata Airport pale ni shida sana aiseee, mzigo kidogo wanakomaa sana. Chamsingi jamaa ajipange tu aache woga wa mtandao siku hizi ndiyo deal, unapunguza gharama za kusafiri mwenyewe na pia unaokoa muda.
Kaka, Alibaba siyo waarabu ni kampuni ya tajiri namba moja China (Jack Ma). Kupitia alibaba kuna makampuni kibao mojawapo ni Taobao (ambayo inajishughulisha na kuuza bidhaa online). Unaweza kununua kila kitu pale na wanakuletea hadi nyumbani. Mimi nipo Shanghai (China) hapa huwa natumia sana...
Locomotive ni adjective - enye nguvu ya kwenda, pia ni noun-kichwa cha garimoshi. Ila sisi tunaita treni, neno sahihi ni garimoshi. Kiswahili kipo wide sana, tatizo maneno mengi hatuyatumii sana, tunatohoa ya kizungu. Hahaha
Lugha nyingi zipo namna hii, sometimes unakosa neno moja kutafsiri...
Sijaona point uliyoongea hapo nikakubishia zaidi ya kuongelea majipu yanayokuhusu. Utatumbuliwa tu, rudi shule ukasome microbiology ndiyo urudi hapa kucomment.
Acha uzembe wa kudadavua mambo, elewa source ya hiyo toxicity (aflatoxin) mjadala utakwisha. Wikipedia ni source tu, tafuta hata vitabu usome (Jipu wewe). Hao fungus aina ya Aspergillus wanakua maeneo mbalimbali pamoja na vyakula ambavyo vimeorodheshwa hapo vikiwa havikuhifadhiwa vizuri (siyo...
WADAU TUJIFUNZE KUSOMA NA KUPANUA WELEDI WETU KATIKA KUCHANGANUA BAADHI YA MAMBO, SIYO KUKURUPUKA TU NA MADA KAMA ZA NAMNA HII:
KUHUSU Aflatoxin (Nimecopy na kupaste toka Wikipedia), someni kwa faida ya hii thread.
Aflatoxins are poisonous and cancer-causing chemicals that are produced by...
Mi nadhani hapo kunatatizo lingine wala siyo hizo hela za mkopo. Kwanini ulikuwa unawakopesha mawifi bila kumshirikisha mumeo? Kabla ya kumjibu huyo wifi yako ulitakiwa kujadiliana na mumeo kwanza na siyo direct namna hiyo. Nadhani wewe utakuwa una tatizo jingine na hao wifi zako. Haiwezekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.