Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisumbuliwa na kichomi na nimeshatumia dawa nyingi sana za hospitali lakini bado tatizo liko pale pale. Naomba mnisaidie dawa itakayonisaidia kuondokana na tatizo hili.
Nasikitishwa sana na hukumu zinazotolewa dhidi ya Waislamu.
Mtu anaweza kuuwawa kwa mambo mengi sana, hata kama akiwa ni mcha Mungu wa kiasi gani. Si lazima Padri auwawe na WAISLAMU au SHEIKH auwawe na WAKRISTO.
TUTAFAKARI KWA KINA JUU YA HAYA.
Leo nimeshangazwa sana kuona Gharama kubwa zikitumika katika kutangaza matokeo ya Sensa ambapo tayari gharama kubwa zaidi zilishatumika katika kuyaandaa. Kwani wangeamua kuyatangaza matokeo hayo kwa kutumia PRESS CONFERENCE ingewagharimu kitu gani? Huu ni utumiaji mbovu wa fedha za walipa kodi...
Kaka Elungata mbona ni mgumu kuamini? Si lazima habari uione wewe.
Ukweli ni kwamba ITV wametangaza habari hiyo. Na kuhusu Farouk Karim yeye ndiye aliyeripoti kupitia Radio One.
Poleni sana Wa-Catholic wote nchini.
Kama unafanya kikao kuanzia mwanzo hadi mwisho bila ya mtu hata mmoja kupinga au kuchallenge mawazo yako, basi ujue kuna tatizo. Huwezi kujua madhaifu yako kama hutaki kukosolewa...WENYE HEKIMA WAMENIELEWA.
Hizi tuhuma ni tosha kabisa kumuadabisha Mulugo-ila zipo mahala ambapo sio sahihi.
Ila ni vyema pia kama tutajifunza namna ya kufichua maovu maana mtoa mada anajua kabisa kwamba Mulugo alinunua kadi za CCM lakini akakaa kimya hadi leo Taifa linaaibika ndo analeta ushahidi wake...Tuwe wazalendo...
Dini kwenye nchi hii si tatizo, tatizo ni sisi tunaojadadili dini.
Thread imejadili mambo mengi sana kutoka kwa wachangiaji mdahalo wa mabadiliko ya Katiba, lakini mtoa mada sijui alitumia kigezo gani kuchagua heading ya UDINI...Nani ni mdini kati ya Mtoa mada na Mtoa maoni ya madiliko ya...
Liko wapi tatizo la Msikiti ndani ya Shule ya Bagamoyo? Nani asiyejua kwamba PUGU SEKONDARI kuna kanisa kubwa la Roma? Mbona MARA Sekondari kuna Kanisa Kubwa la ROMA lakini hakuna Msikiti? Je umeshawahi kusikia mgogoro toka katika Shule hizi za Serikali.
MISIKITI na MAKANISA kwenye Shule za...
Aliyeshangiliwa na aliyeandika Post wanaakili zinazofanana.....Protocal imevunjwa halafu unashangilia? Kuwa upinzani haimaanishi kuwa kinyume na kila kitu
TAFAKARI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.