Recent content by kilombero kwanza

  1. K

    Hivi ni kweli Tanzania tumekosa Viongozi waadilifu hadi watuhumiwa waonekane lulu?

    nianze tu kusema Tanzania tutaendelea kuwa masikini,hadi mwenyezi mungu atakapoamua kulikomboa taifa hili.
  2. K

    Wadau nani kati ya watia nia hawa anafaa kupewa jimbo la kilombero nafas ya ubunge?

    piter lijualikali, huyu ni diwani kata ya ifakara mjini, Aziz himbuka huyu ni katibu wa mbunge mnyika, suzan kiwanga huyu ni mbunge viti maalum, remija mtema,na edo mchonde.
  3. K

    UDSM wanatoa kozi ya Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa?

    kile cha kurasini mkuu kinatoa ordinary diploma na postgraduate. thn nin tofauti ya ordinar diploma na diploma mkuu?
  4. K

    UDSM wanatoa kozi ya Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa?

    Wakuu nahitaji kusoma course ya diplomasia na maendeleo naomba kujuzwa vyuo vinavyotoa kozi hiyo na kama UDSM wanatoa?
  5. K

    Migiro ajitosa Urais, Sitta kurudisha fomu

    haka kamama kananivutia sana jamani nani anakamiliki? ila tukimpa tutapata sana misaada kwa marais vidume wanaochangamkia fursa.
  6. K

    Migiro ajitosa Urais, Sitta kurudisha fomu

    haka kamama kananivutia sana jamani nani anakamiliki?
  7. K

    Minister: Sudan's Bashir has left South Africa

    lakini kwanini waafrika tuuwane wenyewe kwa ajili ya uchu wa madaraka.
  8. K

    Yupi anaweza tuvusha wana Kilombero?

    Watangaza nia hao ni kwa upande wa CHADEMA. Peter Lijua Likali, ambaye kwa sasa ni diwani wa Ifakara mjini, Aziz Himbuka ambaye ni Katibu wa Mnyika, Suzan Kiwanga, mbunge viti maalum na Edo Mchonde.
  9. K

    viongozi wa chadema wilaya ya kilombero acheni malumbano.

    kumekuwa na malumbano ya wazi kabisa miongoni mwa viongozi, hali hiyo inatokana na baadhi ya viongoz hao kuwa na interest binafsi na baadhi ya wagombea hasa wale wenye uwezo kifedha. hali hiyo imepelekea kuwagawa wanachama na kama mgogoro huo utaendelea basi utatoa upenyo kwa ccm kulichukua...
  10. K

    Notisi ya kuanzisha Mikoa na Wilaya

    jimbo la kilombero ni miongoni mwa majimbo makubwa yaliyotegemewa kugawanywa, lakn kwenye mgawanyo huu mpya halijagawanywa.
  11. K

    Kikwete kugomea Bunge?

    ccm wanataka kuwalaghai watanzania kuwa hata ukuwa ni mafisadi kama wao, so ukawa tusijiingize huko tuwaache walipane wenyewe.
  12. K

    Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    jimbo la kilombero, kamanda Azizi himbuka.tapeli mteketa kwa heri paka wewe.
  13. K

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma leo Tarehe 13 Mei, 2015

    aisee ccm mwaka huu lazima waangukie pua,kwa hayo madudu wanayoyafanya hakuna kijana atakaekichagua labda vikongwe
  14. K

    Notisi ya kuanzisha Mikoa na Wilaya

    jamani vipi jimbo la kilombero? mbona walituahidi kuwa, wataligawa na kutoa jimbo jipya litakaloitwa jimbo la mlimba.
  15. K

    Mchungaji: Josephine Mushumbusi tulijuana Facebook

    subiri amwokote na mama yako ujue dr kidume.
Back
Top Bottom