Yupi anaweza tuvusha wana Kilombero?

Yupi anaweza tuvusha wana Kilombero?

Joined
Jan 16, 2015
Posts
62
Reaction score
24
Watangaza nia hao ni kwa upande wa CHADEMA.

Peter Lijua Likali, ambaye kwa sasa ni diwani wa Ifakara mjini, Aziz Himbuka ambaye ni Katibu wa Mnyika, Suzan Kiwanga, mbunge viti maalum na Edo Mchonde.
 
Mkuu Asenga abubakar nio kijana anayeweza kutuvusha...coz ni msomi na mpenda maendelea....wenye kumjua watakubaliana na mm....
 
Acheni mawazo ya kizamani. msimtegemee mwanasiasa awavushe, jivusheni wenyewe.
 
watangaza nia hao ni kwa upande wa chadema. peter lijua likali, ambaye kwa sasa ni diwan wa ifakara mjini,aziz himbuka ambaye ni katibu wa mnyika, suzan kiwanga, mbunge viti maalum na edo mchonde.

Mkuu ..chaguo letu ni Asenga abubakar tu mkuu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom