Minister: Sudan's Bashir has left South Africa

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,394
968
- President's plane leaves South Africa as court continues to hear case on whether he should be arrested.
View attachment 260356 Sudanese President Omar al-Bashir came to South Africa for the AU Summit in Sandton, Johannesburg [AP]

Sudan's information minister has said that Sudanese President Omar al-Bashir has flown out of South Africa, despite an ongoing high court case which which is hearing an application for his arrest.

"Yes, he has left," minister Ahmed Bilal Osman confirmed, saying that South Africa had always agreed not to arrest the president while he was in the country for the African Union summit.

The South African state broadcaster, SABC, first reported at about 10:15 GMT on Monday that President Bashir's plane had flown out of the Waterkloof air force base, on the outskirts of Pretoria.

The lawyer appearing on behalf of the South African government, however, told the high court in Pretoria that President Bashir was not on the list of passengers in the Sudanese plane that left Waterkloof base.

Earlier, the Sudanese information minister told Al Jazeera would return to Sudan on Monday.

"He is coming back to our country in one or two hours," he said, adding that it did not matter if the court ordered Bashir's arrest, as it had no ability to enforce such an order.

"The judiciary...does not have policemen. The president is there [in South Africa] and no one is going to arrest him."

An interim order was made by the high court in Pretoria on Sunday, barring President Bashir from leaving the country pending an application from civil society organisations, calling for his arrest.

The state lawyers were expected to start their arguments at 08:00 GMT before the court in Pretoria on Monday, sources told Al Jazeera. The high court has to decide whether to send Bashir to the International Criminal Court.

Al Jazeera's Fahmida Miller, reporting from Johannesburg, said that the Sudanese president's plane had been moved to a South African military base late on Sunday night.

She said that the defence force was not a party to the court case, meaning President Bashir would be able to fly from the base unobstructed.

If the plane has left as reported, the home affairs department could be held in contempt of court for failing to implement the conditions of the order, our correspondent reported.

Bashir, who is accused of war crimes in repressing an armed uprising in the Sudanese region of Darfur, was due to appear in Johannesburg on Sunday for the AU summit.

The Hague-based ICC issued an arrest warrant in 2009, but Bashir denies the charges.
UN Secretary-General Ban Ki-moon told reporters in Geneva on Monday that the authority of the ICC must be respected and its decision implemented.

Before Sunday's court ruling was announced , the judge said the court would decide whether a South African government cabinet decision to host Bashir would trump the ICC arrest warrant.

Source: Al Jazeera
 
BINARY NO

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
2,090
1,989
Hajachomoka bana kwani hakua amekamatwa kwani mahakama ya south haikua na mamlaka ayo zaidi ya kutangaza tu....Albashir kaondoka kwa heshima zote...Anawezaje kukamatwa na MUGABE yupo na kwanza hakuna Rais yeyote wa Africa ambae angeruhusu idhalilishaji wa aina hiyo
 
muhomakilo jr

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
12,392
7,803
Hivi Bush atakamatwa lini?,au mahakama hii ni kwa ajiri ya viongozi kutoka Afrika pekee?..
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
74,053
74,954
Hajachomoka, kaingia Afrika Kusini kwa raha zake, kamaliza shughuli iliyompeleka na kaondoka kwa raha zake. Wacha kupotosha watu. Omar Bashir haendi mahala kabla hajahakikishiwa usalama wake kutokana na msimamo na makubaliano ya AU. Na msimamo wa AU ni kuwa Bashir hana hatia ya kukamatwa.
 
Faridi

JF-Expert Member
Apr 2, 2008
672
273
Breaking News Aljazeera TV sasa hivi - Omar Al Bashir ameondoka South Africa
 
Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
829
Hajachomoka, kaingia Afrika Kusini kwa raha zake, kamaliza shughuli iliyompeleka na kaondoka kwa raha zake. Wacha kupotosha watu. Omar Bashir haendi mahala kabla hajahakikishiwa usalama wake kutokana na msimamo na makubaliano ya AU. Na msimamo wa AU ni kuwa Bashir hana hatia ya kukamatwa.

Thanteee wamekusoma dada
 
rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,895
3,392
- President's plane leaves South Africa as court continues to hear case on whether he should be arrested.

sudan.jpg
Sudanese President Omar al-Bashir came to South Africa for the AU Summit in Sandton, Johannesburg [AP]

Sudan's information minister has said that Sudanese President Omar al-Bashir has flown out of South Africa, despite an ongoing high court case which which is hearing an application for his arrest.

"Yes, he has left," minister Ahmed Bilal Osman confirmed, saying that South Africa had always agreed not to arrest the president while he was in the country for the African Union summit.

The South African state broadcaster, SABC, first reported at about 10:15 GMT on Monday that President Bashir's plane had flown out of the Waterkloof air force base, on the outskirts of Pretoria.

The lawyer appearing on behalf of the South African government, however, told the high court in Pretoria that President Bashir was not on the list of passengers in the Sudanese plane that left Waterkloof base.

Earlier, the Sudanese information minister told Al Jazeera would return to Sudan on Monday.

"He is coming back to our country in one or two hours," he said, adding that it did not matter if the court ordered Bashir's arrest, as it had no ability to enforce such an order.

"The judiciary...does not have policemen. The president is there [in South Africa] and no one is going to arrest him."

An interim order was made by the high court in Pretoria on Sunday, barring President Bashir from leaving the country pending an application from civil society organisations, calling for his arrest.

The state lawyers were expected to start their arguments at 08:00 GMT before the court in Pretoria on Monday, sources told Al Jazeera. The high court has to decide whether to send Bashir to the International Criminal Court.

Al Jazeera's Fahmida Miller, reporting from Johannesburg, said that the Sudanese president's plane had been moved to a South African military base late on Sunday night.

She said that the defence force was not a party to the court case, meaning President Bashir would be able to fly from the base unobstructed.

If the plane has left as reported, the home affairs department could be held in contempt of court for failing to implement the conditions of the order, our correspondent reported.

Bashir, who is accused of war crimes in repressing an armed uprising in the Sudanese region of Darfur, was due to appear in Johannesburg on Sunday for the AU summit.

The Hague-based ICC issued an arrest warrant in 2009, but Bashir denies the charges.
UN Secretary-General Ban Ki-moon told reporters in Geneva on Monday that the authority of the ICC must be respected and its decision implemented.

Before Sunday's court ruling was announced , the judge said the court would decide whether a South African government cabinet decision to host Bashir would trump the ICC arrest warrant.

Source: Al Jazeera
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,683
13,206
Hii miviongozi ya afrika inabidi kunyongwa tu. Inauchu sn wa madaraka! Iko tayari raia wao wafe hata wote lkn ibaki madarakani.
Nasikitika sn anayetetea viongozi wa afrika
 
OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
41,883
78,776
Rais Bashir ameondoka
akiandamana na waziri wa
maswala ya kigeni wa Sudan
huku ikiahidiwa kuwa
watazungumza na waandishi wa
habari pindi watakapotua mjini
Khartoum.
Mwandishi wa BBC aliyeko Afrika
Kusini Nomsa Maseko, anasema
kuwa ndege ya rais al Bashir
ilijazwa mafuta jana usiku na
kuwekwa mstari wa mbele tayari
kabisa kuondoka katika uwanja
wa ndege wa kijeshi.
Rais Bashir amekuwa nchini
Afrika kusini kuhudhuria kikao
cha viongozi wa Umoja wa Afrika
mjini Johannesburg.
Rais Bashir ameondoka licha ya
kuwepo amri ya mahakama ya
kumzuia kuondoka nchini humo
hadi kesi dhidi yake
itakaposikizwa.
Mahakama hiyo ilikuwa
inapaswa kuamua ikiwa Bwana
al-Bashir atakabidhiwa kwenye
mahakama ya kimataifa ya
makosa ya jinai ICC yenye makao
yake mjini Hague Uholanzi
ilikukabiliana na mashtaka ya
uhalifu wa kivita na mauaji
yahalaiki yanayomkabili .
Majaji watatu walikuwa
wanasikiza kesi hiyo rais Bashir
alipopuzilia mbali amri hiyo na
kuondoka.
Rais Bashir anasakwa na
mahakama ya ICC kujibu tuhuma
za mauaji ya halaiki katika jimbo
la Darfur
Rais huyo wa Sudan amekuwa
nchini Afrika kusini kuhudhuria
kikao cha viongozi wa Umoja wa
Afrika mjini Johannesburg.
Waziri wa mambo ya nje wa
Sudan, Ibrahim al-Ghandour,
amesema Bwana al-Bashir
atarejea Sudan baada ya
mkutano huo.
"Tupo hapa kama wageni
waalikwa na serikali ya Afrika
Kusini.
Rais Bashir alikuwa huko kwa
mualiko wa rais Zuma
ma''Naamini serikali ya Afrika
Kusini itaweza kukabiliana na
mahakama zake na yeyote
anayejaribu kumzuia Rais Bashir
kuondoka nchini humu.''
''Naweza kuwaambia waziwazi
kuwa Rais Bashir ataondoka kwa
wakati kama ilivyokuwa
imepangwa." anasema waziri
huyo wa mambo ya nje wa
Sudan.
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
7,415
12,300
Hii miviongozi ya afrika inabidi kunyongwa tu. Inauchu sn wa madaraka! Iko tayari raia wao wafe hata wote lkn ibaki madarakani.
Nasikitika sn anayetetea viongozi wa afrika
Ubongo wako una matatizo
 
white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
7,385
11,502
walikuwa wanatafuta kiki tu si lolote, yaani ndege itoroke uwanja wa ndege kama, bodaboda kariakoo!!??? si lolote walitaka kujifaragua tu.
 
Lobapula

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
2,376
1,581
Safi imetosha sasa kuamliwa mambo yetu na nchi za magharibi,walichofanya wao Iraq,Afghanistan nan kawapeleka ICC,Libya leo haikaliki ina serikali mbili sababu yao nani kapelekwa ICC,Israel inaua maelfu ya wa Palestina nan kawapeleka ICC?
 
mahoza

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
1,248
575
Kwa hilo nawapongeza viongozi wa Africa kwa kuwa pamoja. Wanapenda kuana nchi zikifarakana wenyewe kwa wenyewe. Vivi Bashir n Zuma.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom