Sio kila jambo unapaswa kulijua.... Hata hiyo "code name" ya Trump ni tofauti sna n mliyoizoea nyie ktk Movies za "Hollywood" Rais Trump ana code name yake ya siri japokua ndege ndio inaitwa AIR FORCE ONE lakini pia akiipanda kuna jambo linaongezeka pale mbele (sub-code) so kwa hapa TZ huwezi...
KATIKA LIST HII YA MATAPELI ONGEZA NA JINA LINGINE (ALEX MSAMA MWITA) AU ALEX MSAMA, AMBAYE NI TAPELI WA KUTUPWA ANAYEJIFICHA KWA MWAMVULI WA DINI, HUYU JAMAA ANAVILIO VYA WATU WENGI SANA HASWA VIJANA WALIOPO KATIKA TASNIA YA MUZIKI WA INJILI PAMOJA NA MEDIA.
Huyu mzee ni TAPELI kilakona wanalia nae, tatizo nikwamba anafanya mambo kama hakuna serikali na kujitamba yakwamba ukienda mahakamani yeye michezo yote ya mahakama anaijua so atakushinda tu....!
Kiba amesha ishiwa.... Tuwe wakweli tu cz njia alizopita yeye na support aliyonayo, hakutakwa kuwa mbaaaali sna Leo hii lakin hadi hivi sasa hana jipya kabisaaa imabaki sauti tu lakin hakuna jipya!
Jamani sio kilakitu ni lazma kukiweka wazi... kunavitu vingine nadhani ni siri zaid kwahivyo vinafanyika lakini kwa kufata kanuni na misingi ya kazi yenyewe... kama hiki chombo kingekuwa hakifanyi kazi ipasavyo cdhani kama tungeendelea kuwa na amani na utulivu huu tulionao hadi sasa!!
Hapo hakuna ujanja zaidi ya kushuka na kutimua mbio tu!!.... manake inaelekea muda si mrefu atailalia kabisaaaa! manake tembo mwenyewe nahisi amevimbiwa hyo!!...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.