Recent content by kilikuuu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Iam looking for a serious boyfriend!

    I'm 23 old,contact me thru 0656022601
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo ilivyokuwa uzinduzi wa kampeni za Esther Bulaya, jimbo la Bunda Mjini

    Jaman mi namkubali Bulaya mpaka basi yaan nataman cku nikutane nae nimtongoze yaan inshort nampenda Esther
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wasichana ni nini sababu ya kutofanya mapenzi mpaka kuoana?

    Hahahahahahahaha!umenichekesha mpaka mbavu zangu zinauma, I solute u
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wasichana ni nini sababu ya kutofanya mapenzi mpaka kuoana?

    Hahahahahahahahah!dah!umenichekesha mpka mbavu zinauma, I solute u
  5. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

    Jaman mi namkubali Esther Bulaya mpka naumwa dada yuko vzr kwenye kujenga hoja wanabunda mmeletewa Jembe nampenda Esther mpka nachanganyikiwa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni Daktari Ngazi ya Shahada, natafuta Kazi

    Amesoma chuo gan
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Ila mtatiro yuko vzr sana ila nmeamin upinzan tuko vzr kwa hoja
  8. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Mpka sasa baadhi yetu tupo mtaani na kesi inaandaliwa kufunguliwa vijana wengi tunaosoma chuo hiki tunaamin ukawa wakiingia madarakani hili tatizo mtalitatuwa na vijana wengi wa hapo Kampala tupo tayar hata kuwapigia kampen ukawa kwn serikal ya ccm imeshndwa hvyo basi ukawa tupo pamoja na tupo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Kwa Mara ya kwanza nilianza kuichukia ccm siku ya bajeti ya wizara ya elimu ambapo baadhi ya wanafunzi wa chuo kikuu cha kimataifa cha Kampala campus ya dar(kitivo cha afya) tulienda bungeni kuwasilisha matatizo yetu kwan tulienda ofisi nyng hapa dar pasipo majibu,tukaamua baadhi twende mjengon...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wanaochagua vyuo vya St. Joseph

    Wasisahau na KIU vyote hvyo majanga,mm mwenywe nlkuwa mwanafunzi wa hcho chuo ila nimeamua kuacha maana nimeona hakina tija hvyo wadogo zetu kuwen makin na hvyo vyuo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Vitz msitusumbue tena

    Hahahahahaha............jaman!!!!!!!!!!mtaniuaaaaa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye St. Joseph Arusha yafungwa

    KIU bado ila serikali yetu kama nisikivu ikifungie na KIU coz nacho ni uozo
  13. K

    JamiiForums Tanzania Chuoni KIU, ni siasa au ni taaluma ndiyo tatizo kubwa?

    Yaan hcho chuo hakifai hata kdgo hasa upande wa kada ya afya, mitaala mibovu,wahadhiri wasio na sifa,ukosefu wa rasilimali za kufundishia na hyo ndio imepelekea wahitimu wa pale kukataliwa na bodi za kitaalam af cha ajabu pamoja na malalamiko ya wanafunzi serikali imekuwa ikimkumbatia huyo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    Nakushukuru inaonekana mwanzo ulikuwa hauelewi kinachoendelea pale ila ukipewa elimu zaid utaelewa, kuhusu waliopo madarasan especially medicine kuna mchezo ulfanyka pasipo wao kujielewa ndo maana wamejikuta wapo darasan na wengi wao walikuja direct pasipo kuletwa na serikali na wengne vigezo duni
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kampala International University kushitaki chuo na Serikali

    Acha kudanganya jamii unaweza kutuonyesha document ya bodi inayoonyesha usajili wa chuo?
Back
Top Bottom