Iam looking for a serious boyfriend!

Iam looking for a serious boyfriend!

Mkuu akipata au kuolewa na mtu mfupi na ndoa au mahusiano yatakua mafupi
 
cindy

kwanini hutaki wafupi?

wasiwasi wake tu;
wengine mwili mfupi lakini chini mashallah mwenyezi mungu kawajaalia urefu.
Pia kuna imani kwamba watu wafupi ni stubborn/wakorofi
 
First, be serious yourself if you want a serious boyfriend! A serious person can't find a companion like this in the social network. and you don't even know your age (20-24 What's this!?)!!! No wonder you are still single! But thanks for the offer but i'll pass. Good luck on finding a boyfriend!
 
sifa zote ninazo including vijisent..ila mimi shombe:A S shade:
 
im very exciting! ! to read this post im marketing director at Nina co.ltd which is situated in denmark copenhagen and brached at Tanzania put out your cv and pc and contact I wil check it later. im 32 yrs old.body builder wide chest and hard muscles well come.

Hi jf members,
Am tired of being lonely,iam a matured girl aged 20-24,super model,black(chocolate)....nahitaji rafiki wa kiume wa kuwa nae kama mtu wangu wa karibu na kadri uhusiano utakavozidi kukua kama akipenda we will tie da knot..iam wife material with all qualities of being someone's wife,i have self-respect kuanzia uvaaji wangu hadi tabia yangu na wala sina makuu!!
You must be christian,tall,any colour bt wale wenye ushombe siwataki! Age 25-30!

Nb:make sure unajiheshimu na unaheshimu wengine.sitaki uhuni!uwe na elimu yoyote na akili ya maisha .mi elimu yangu chuo!

Tehe tehe tehe
A match made in JF
 
Hakuna wife material aliyekosa mume kwa age yako mpaka aje kusaka huku. You might be in very serious psychological problem
 
Karibu JF-joined 04/09/2015 :A S-omg:n looking for BF?
 
Walai ni pm! hutojuta maisha yako yote!! cha kwanza nitakuendeleza na chuo cha elimu ya juu nitakutafutia nafasi ya chuo Massachusetty Institute of Technology! Kila weekend tunaenda kula bata Dubai, canada, USA
 
Hi jf members,
Am tired of being lonely,iam a matured girl aged 20-24,super model,black(chocolate)....nahitaji rafiki wa kiume wa kuwa nae kama mtu wangu wa karibu na kadri uhusiano utakavozidi kukua kama akipenda we will tie da knot..iam wife material with all qualities of being someone's wife,i have self-respect kuanzia uvaaji wangu hadi tabia yangu na wala sina makuu!!
You must be christian,tall,any colour bt wale wenye ushombe siwataki! Age 25-30!

Nb:make sure unajiheshimu na unaheshimu wengine.sitaki uhuni!uwe na elimu yoyote na akili ya maisha .mi elimu yangu chuo!

Naona sifa zote ninazo ukianzia na urefu 170cm, elimu ipo , dini ok ila nina kamchepuko kangu anamtoto. Embu ni nichek hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom