Recent content by kilele

  1. K

    Mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma

    Sawa ushauri muangalie sana watu wanabaki kwenye kanzi data yenu wanakaa miaka 2 hawaitwi ukiangalia kada ambazo mara kwa mara mnaita watu kwa interview majina yao yamebaki huko bado mnaita interview Mfano mtu amesoma mass communication,Journalism, Public relations Mtu wa hivi mkitangaza...
  2. K

    Ndoto za usiku zinazo husiana na kuota nyoka ukiwa umelala

    yani mimi ndoto za nyoka zinanitesa sanaa nimeota nyoka mara 3 ananiuma siku naamka asubuhi nakuta nyoka chumbani kwangu cha kwanza baada ya kuamka nikanyanyua begi chini naona kitu cheusi kumbe alikuwa nyoka
  3. K

    Malipo ya fao la kujitoa NSSF

    Habari za wakati Huu Naomba kufahamu hili fao la kujitoa lipo?? Kama mtu ameshaacha kazi au mkataba wake umeshaisha aliajiliwa kwa miaka 2 na mkataba umeisha je analipwa au ipoje bado paka sasa naomba kufahamu wadau katika hili
  4. K

    Usafiri wa treni kuelekea Kilombero Mang'ula

    asante kuna mtu anaweza akawa anefahamu ratiba zake
  5. K

    Usafiri wa treni kuelekea Kilombero Mang'ula

    Samahani kwa yeyote anefahamu treni inayoelekea njia ya Kilombero Mang'ula ni ile inayoenda Zambia abiria anapandia pale Tazara au? Je first class ni bei gani na neo nyingine kwa ujumla?
  6. K

    Nini tafsiri ya serikali kusambaza tani milioni 1.5 za chakula?

    Tanzania ni nnchi yenye amani kutoa chakula kwa wananchi ni swa ila wanatakiwa waseme ukweli kama kuna tatizo la nja au laa
  7. K

    GE2015 Tujikumbushe ahadi za CCM kupitia Kwa Kikwete

    Hawana jipya 53 miaka
  8. K

    Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Wewe vipi piga uwa ukawa ikulu tare 25 October
  9. K

    Wabunge wanne wajiunga na ACT - Wazalendo

    Mamluki hao sis tunapeta
  10. K

    Ni Haki Kikwete kutumia Ndege ya Serikali kuhudhurua sherehe ya Kuapishwa Ridhwan?

    Kama baba anajukumu hilo sidhani kama amefanya.vibaya kama kweli amefika na ndege ni sawa anaenda kama baba kumpongeza
  11. K

    Mzee Jaji Warioba ndani ya Dk 45 ITV

    Ni muendelezo wa mjadala.kuhusu katiba
  12. K

    Mnyika Jiandae: Kiongozi wa Upinzani aliyemfananisha Rais na Kiazi Kizimbani

    Mshkaj unachekesha huu mi wasaa wa ukweli na uwaz
Back
Top Bottom