Malipo ya fao la kujitoa NSSF

Malipo ya fao la kujitoa NSSF

Hiii zama itapita na itakuja nyingine na mambo yatakaa sawia tu! Tuvute subra,Inshallah.
 
Habari za wakati Huu

Naomba kufahamu hili fao la kujitoa lipo?? Kama mtu ameshaacha kazi au mkataba wake umeshaisha aliajiliwa kwa miaka 2 na mkataba umeisha je analipwa au ipoje bado paka sasa naomba kufahamu wadau katika hili
 
  • Thanks
Reactions: sab

Unataka kujitoa jamaaa?
 
Dhumuni ni kuwawekea pension yao ya uzeeni. Hii ni mifuko ya pension ya uzeeni (kuanzia umri wa miaka 55). Mfanyakazi anachangia 6% ya mshahara wake kila mwezi na muajiri wake naye anachangia kiasi hicho hicho kwa kila mfanyakazi wake. Hii ni kwa mjibu wa sheria na pesa hizi huwakilishwa kwenye mifuko hii. Mfanyakazi akiacha au kufukuzwa kazi michango hii husimama. Akipata ajira sehemu nyingine michango hii huendelea. Atakapozeeka na hivyo kutokuwa na nguvu ya kuendelea na kazi (at 55 years of age or above) mifuko hii itaanza kumlipa pension nono ya mkupuo na baada ya hapo kila mwenzi hadi mwisho mwa maisha yake. Akifariki kabla ya hapo wategemezi /warithi wake watalipwa hayo malipo yake ya mkupuo (death gratuity). Ni makosa makubwa kuifananisha mifuko hii na savings accounts za benki!.
Je watu wanalipwa sasa? Maana wastaafu wanasota kama wapo utumwani nchini mwao.Mzee wangu pale vingunguti mstaafu wa TAZARA anatia huruma anapigika mafao wamedhurumiwa wazi wazi.Mda mwingine natamani gharika ishuke isombe kila kitu maana sio kwa mateso haya ambayo watawala wa Africa wanatupa raia.Wao wanakula vinono ikulu.
 
Hivi kwani ni lazima kufanya kazi hadi miaka 55?what if sitaki kazi tena and am 30 or 40?
What if nimefukuzwa Kaz saiv na sijaajiriwa tena ina maana nasubiri kulipwa hiyo hela for the many coming years?factor ya inflation rate inakuaje
Hivi na wanajeshi au wabunge wanasubiri mpaka hiyo miaka maana wanajeshi wana staafu chin ya hiyo 55 na mbunge anastaafu any time refer kafulila au hiyo ni kwa sisi wanyonge tu
Sitasahau these two years tunaofanya Kaz private companies
Ajira imekua ngumu na serikali haiajiri tena shule siend tena coz Nina zaid ya three years toka memaliza diploma mkataba Wa kazi uko mwishon sitaongezewa tena coz company haiperform vizuri kibiashara hatimae FAO langu LA Nssf sipewi ili angalau nifungulie genge na tunaambiwa tujiajiri
FOR GOD SAKE I HATE TO BE TANZANIAN
Uongozi huu una laana kubwa sana ndani yake maana unatesa sana watumish both private na governmnent.Bunge nalo ndio badala ya kutetea wananchi limekaa ki hasara hasara.Nchi ina laana hii
 
Je watu wanalipwa sasa? Maana wastaafu wanasota kama wapo utumwani nchini mwao.Mzee wangu pale vingunguti mstaafu wa TAZARA anatia huruma anapigika mafao wamedhurumiwa wazi wazi.Mda mwingine natamani gharika ishuke isombe kila kitu maana sio kwa mateso haya ambayo watawala wa Africa wanatupa raia.Wao wanakula vinono ikulu.
Acha kulalamika. Fuatilia mafao ya mzee wako. Kama kuna watu wamemdhurumu waburuze mahakamani, sheria ichukue mkondo wake.
 
Acha kulalamika. Fuatilia mafao ya mzee wako. Kama kuna watu wamemdhurumu waburuze mahakamani, sheria ichukue mkondo wake.
Mkuu toka 2009 huko.kwa nchi zetu hizi kama huna mtu kwenye system sahau.Kimsingi mzee kadhurumiwa haki yake.
 
Mkuu toka 2009 huko.kwa nchi zetu hizi kama huna mtu kwenye system sahau.Kimsingi mzee kadhurumiwa haki yake.
Mambo yamebadilika katika awamu hii ya tano. Hakuna virushwa rushwa tena na watu wanatumbuliwa kila siku. Wewe nenda mahakamani haraka ili mzee wako apate haki yake.
 
Back
Top Bottom