Tanzia: Askofu Mabumba afariki dunia

Tanzia: Askofu Mabumba afariki dunia

Siasa mbaya, hata mtz akifa mnafurahia wenzangu!

What for?lowasa or john have 1st their interests,then 2nd the National interests!

TZ citizens don't be hypnotized by Politics n Politicians!

Reclaim your morals,
u r becoming animals or below that!
 
R.I.P sijui kama ametubu dhambi yake ya kututabiria fisadi kuwa Rais wetu
 
Apumzike kwa amani. ila sisi na Lowasa mpaka ikulu kukamilisha unabii
 
R.I.P sijui kama ametubu dhambi yake ya kututabiria fisadi kuwa Rais wetu
wewe uliyemsafi pasipo dhambi kuwa wa kwanza kumuita mwenzio mwenye dhambi.
 
Mwenyezi mungu hachezewi..
Yaani hata uchaguzi haku uona..
 
Pumzika kwa Amani Askofu wote ndio njia yetu .
 
Back
Top Bottom