Recent content by Kilbark

  1. Kilbark

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rapa mkongwe wa Hip Hop, Coolio afariki Dunia

    OPIOID SILENT KILLER
  2. Kilbark

    JamiiForums Tanzania Buriani Hassan Chikusa msomi mkimya

    BURIANI. KWA HAKIKA NI PIGO KUBWA KWA SISI TULIOMFAHAMU KUPITIA MITANDAO NA MAANDIKO YAKE JAPO KWA UCHACHE. NISEME ALIKUWA MTU MUUNGWANA ALIYEHESHIMU KILA MTU. PIA ALIIJUA HISTORIA NA MATUKIO MBALIMBALI YA NCHI HII VYEMA.
  3. Kilbark

    JamiiForums Tanzania Mrusi aliyetengeneza Ak-47

    AK ni noma chukua chimbia ardhini kavu kavu fukua test mtambo. Ngoma jino moja. Ni bunduki imara mno ambayo inahimili mazingira magumu. Kuna aina nyingi za AK 47 kutokana na maendeleo ya teknolojia.
  4. Kilbark

    JamiiForums Tanzania Serikali yaandaa Mswada wa taratibu za uvunaji na upandikizaji viungo vya binadamu

    Hii Bill itakapo jadiliwa na kupitishwa kwa kura na Bunge la JMT, na kisha rais kuridhia na kuwa sheria, tutegemee ulanguzi,ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu pamoja na mauaji. Pengine serikali pamoja na bunge watatakiwa kuweka vipengele maaalum kisheria baina ya donor na recipient na...
  5. Kilbark

    JamiiForums Tanzania Thomas Isidore Sankara: Taa ya AFRIKA iliyozimika ghafla ikiwa na umri mdogo wa miaka 38 kwa mapinduzi na kuuawa na Rafiki yake Kipenzi

    Sankara alimkejeli Rais wa Ivory Coast Houphet Boigny na kumuita kibaraka wa mabeberu hususan Ufaransa. Campaore amemuoa mtoto wa Boigny. Boigny alikuwa na ushawishi mkubwa wakati huo, kikanda na kimataifa na aliheshimika kwa kuwa mtu senior wakati ule. Hakuna kiongozi ambaye alithubutu...
  6. Kilbark

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe afunguka kuhusu Dr. Bashiru kumtaka CCM

    Na kuwepo kwake ACT hakutamaliza shida za watanzania.....Zaidi ya maslahi
  7. Kilbark

    JamiiForums Tanzania Kuyumba na kufa kwa UCC, Chuo Kikuu UDSM chatoa ufafanuzi

    Ninachoona hapo ni kama mtiririko wa majungu na kupakana matope unaochagizwa na kundi moja dhidi ya kundi jingine. Hakuna jipya hapo ni maslahi tu.
  8. Kilbark

    JamiiForums Tanzania Yawezekana ikawa ni masharti ya mganga...

    Bado muda wake haujafika. In fact DAB is a manifestation of the man himself. All of his action are depictions and result of his intentions. DAB is like an operated and programmed machine that does not think. Even dogs think over consequences of their actions. But if you read between the lines...
  9. Kilbark

    JamiiForums Tanzania Bwana Heri jiandae mapema, unatafutiwa uchochoro wa kutokea

    Bwana Heri= Majaliwa, Kijana wa New York = Bashite, Mzee wa Misuti na Miraba= Lugola, Figo= Korosho....... .Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
  10. Kilbark

    JamiiForums Tanzania Kitengo hatari zaidi katika MOSSAD

    GOLDA MEIER
  11. Kilbark

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Mtandao: Mbaroni kwa ‘kumtukana’ Naibu Spika, Tulia Ackson

    Hakuna mahali alipotukana. Narudia. Hakuna mahali alipotukana.
  12. Kilbark

    JamiiForums Tanzania Mtatiro aanza 'kufaidi mafanikio' hata kabla ya kujiunga rasmi CCM

    Hakuna kitu kibaya kama kufanya jambo kwa kufuata maelekezo hata kama dhamira yako haitaki na sio sahihi. Njaa kitu kibaya sana.
  13. Kilbark

    JamiiForums Tanzania President Mobutu Sese Seko of Zaire

    Mobutu, Kasavubu, Moise Tshombe wote waligeuzwa kuwa vibaraka wa mabeberu ila Mobutu aliitumia fursa hiyo vizuri kwa kuwamaliza wote na kuitawala Zaire.
  14. Kilbark

    JamiiForums Tanzania Mwanadada yule wa Ughaibuni alikuwa sahihi sana na alistahili kuungwa mkono na watu binafsi pamoja na taasisi za kiraia

    Tatizo maneno mengi.....Tumekosa uthubutu katika mambo ya msingi...siasa tutaiweza?
Back
Top Bottom