Mmmmmmm kwani yeye alizaliwa abaki hukohuko??????????Kamanda leo hii unaikana kambi? Ama kweli tutaona na kusikia mengi.
Mmmmmmm kwani yeye alizaliwa abaki hukohuko??????????Kamanda leo hii unaikana kambi? Ama kweli tutaona na kusikia mengi.
Hakika "ni mapito tu".....Sawa mkuu naelewa awamu hii kila mmoja anaeleweka yupo wapi ni mapito tu
KabisaJembe hili likitumiwa vizuri,2020 ni kuteleza tu.
Kuna watu waliishi namna hii kwa miaka 24 ya Nyerere na still walitoboa seuse karne hiiHakika "ni mapito tu".....
Yajayo yanafurahisha!
Katika kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM, aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF Julius Mtatiro alisikika akijivunia mafanikio ya kuhama CUF na kutangaza tu nia yake ya kujiunga na CCM hata kabla ya kujiunga na chama hicho rasmi.
Mafanikio aliyojivunia Mtatiro ni kupigiwa simu na viongozi wa CCM na kupongezwa kwa uamuzi wake huo. Mtatiro amesema kuwa leo hii atawasilisha barua/maombi yake rasmi ya kujiunga na CCM na anatumai kuwa atakubaliwa.
Yajayo yanafurahisha, mko tayari?
Hahahaa...... kama namuona Mbowe akihamia CCM!!Uanachama si kupewa. Ni kuomba na kuupata. Unao uthibitisho wa uanachama wangu kwenye chama chochote? Uweke hapa. You can google
eti revolution!!Ubinafsi haufai katika revolution.
Wapinzani wenyewe wanajikanyaga walishindwa kusimamisha mgombea mmoja mpaka mtatiro akakosa jimbo
Hata kama angepata jimbo angehama tuWapinzani wenyewe wanajikanyaga walishindwa kusimamisha mgombea mmoja mpaka mtatiro akakosa jimbo
Waitara na jimbo lake kaliacha, huyo anayake, angelikiwa na jimbo atia hasara tu km Mtulia na WaitaraWapinzani wenyewe wanajikanyaga walishindwa kusimamisha mgombea mmoja mpaka mtatiro akakosa jimbo
Unamwongelea Mnyika!Usimwamini mwanasiasa aisee maana anaweza akafanya maamuzi mbadala muda wowote kama alivyofanya Mtatiro pamoja na kwamba ni haki yake ya kikatiba. Anaweza akaonyesha msimamo flani kuhusu chama flani alafu ndani ya miezi michache akaenda kulekule alipopaponda. Heri hata wale ambao wanaanza na kuwa kimwili kwenye chama flani huku kiroho yupo chama kingine mwisho wa siku hata akihama huwa wananchi hawajiulizi sana
kwani yeye ni mlendaJembe hili likitumiwa vizuri,2020 ni kuteleza tu.
alifanya nini cha kukera pale Karimjee?Leo juliana shonza anapigwa chini alimkela rais wakati wa msiba wa majuto
Mfano ka mbunge wa ubungoUsimwamini mwanasiasa aisee maana anaweza akafanya maamuzi mbadala muda wowote kama alivyofanya Mtatiro pamoja na kwamba ni haki yake ya kikatiba. Anaweza akaonyesha msimamo flani kuhusu chama flani alafu ndani ya miezi michache akaenda kulekule alipopaponda. Heri hata wale ambao wanaanza na kuwa kimwili kwenye chama flani huku kiroho yupo chama kingine mwisho wa siku hata akihama huwa wananchi hawajiulizi sana
Usisahau pia jinsi tundu lissu alivokua akimtukana na kumkashifu mh.lowasa but akaja kumlamba miguu agombee urais hahaha hii ndo si hasaNi kweli! Hebu kumbuka Bw. Lowassa alivyokuwa akijiapiza kwamba hatahama CCM na kwamba asiyetaka yeye ndiye ahame! Lakini nini kilitokea?Japo sina uhakika kama alihama kwenda kutafuta cheo (uraisi) au alihama kwa moyo wa dhati kwamba CCM ilikuwa haina dira!
Nasubiri kuona tena atakakoelekea na genge lake pale watakaponyimwa kugombea urais 2020!