Recent content by kilasanioni

  1. kilasanioni

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Kuna kiongozi kijana wa Serikali hajitambui na hajielewi

    Zinaiva polepole
  2. kilasanioni

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ajivua Ubunge; ajitoa CCM na kuomba kujiunga CHADEMA

    Hongera zake kama kaamua mwenyewe kwa sababu zake mwenyewe. Lakini lisijekuwa ni tukio pandikizi. Ni lini nitakuwa jasiri kama wao ili niseme au nitoke?
  3. kilasanioni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Raila Odinga(NASA) ajitoa kugombea urais wa Kenya uliokuwa ufanyike 26 Oktoba, 2017

    Tume ye yote ya uchaguzi mahali po pote hasa Africa haiwezi kuwa huru iwapo itateuliwa na wanaogombea madaraka. Haiwezekani Milele. Labda tume ziteuliwe kutoka nchi nyingine kama marefa wanavyoteuliwa kusimamia michezo nchi ambazo hawakutoka.
  4. kilasanioni

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

    Mimi nilikutana naye njiani kwenye nyasi ndefu kidogo. Alitoa sauti ffuuuuu!! Nilirudi spidi kali sana ya kutozwa 200,000/=. Mpaka leo ile njia siipiti tena. Na ni miaka 6 iliyopita. Nyoka ni nyoka tuu.
  5. kilasanioni

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kitongoji cha Londo wilayani Kibiti, Michael Martin akiwa amelazwa Hospitalini

    Serikali ijiongeze na kupata kiini hasa cha haya mauaji haya tena ya viongozi wa Chama na Serikali. Hii ni changamoto kubwa sana. Busara na Hekima viongoze kabla ya nguvu na mabavu. Je ni Ujambazi? Je ni Ugaidi? Je Ni Ujangili? Je ni Kisasi? Je ni chuki? Je ni..?...?...???? nk?
  6. kilasanioni

    JamiiForums Tanzania Nahisi gari ya mume wangu ina mauzauza ya kichawi

    Na wewe kwenye hiyo gari kaache huko sketi,kanga, gauni,kitenge ikiwezekana hata "triangle na jack yako". Huyo anayeacha hereni au hata mwingine akivikuta hatakaa.
  7. kilasanioni

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mji wa Moshi

    Naona Wachagga wanamalizia stress zao kwenye huu uzi. Wamepata mahali pa kupumulia kana kwamba wamebanwa kiaina fulani hivi.
  8. kilasanioni

    JamiiForums Tanzania ITV 'Yahaha' baada ya viewers kupungua...

    Hivi shilawadu ni nini?
  9. kilasanioni

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mapadri na Watawa wa Kikatoliki hawaoi/hawaolewi?

    Upadri au Utawa ni zaidi ya kutooa au kutoolewa. Na Upadri au Utawa havipimwi kwa kutooa au kutoolewa.
  10. kilasanioni

    JamiiForums Tanzania KUTOKA VIKINDU: Polisi wapambana na majambazi, askari mmoja adaiwa kuuawa

    Najitahidi saaana kuamini kuwa ni majambazi lakini nashindwa.
  11. kilasanioni

    JamiiForums Tanzania Mtanie wa juu yako

    Uwe unapiga mswaki bhana. Mdomo unanuka utadhani panya kafia huko tangu jana.
  12. kilasanioni

    JamiiForums Tanzania Polisi yavamia harusi, wakamata bwana harusi na watu wake na kupewa kesi ya ujambazi Access Bank

    Ujambazi au uhalifu wa aina ye yote hauna dini. Hayo majina ni coincidence tu.
  13. kilasanioni

    JamiiForums Tanzania Wachaga wa Kirua Vunjo BANA

    Unakumbukaje vijiji/vitongoji hivi vya KV?......kanji, nduoni, sumi, tela, mandangeni, kwamare, mochara, pakula, iwa, ko-mangi, rindima, cholo, uparo, urenga, kileuo, mrumeni, mero, usangi,manzaoni, kotule, ko-msungu, kiwaloni, ko-pachi, kombela, ko-yuli, ko-sapiny, ko-rene, mafuruwanjeny, manu...
  14. kilasanioni

    JamiiForums Tanzania Kwa namna hii Mabadiliko Tanzania ni ndoto

    Tujiandae tu kwa miaka mingine 5 ya uvumilivu na umaskini tu. Na kama bado tutaendelea kuwa na umaskini wa mawazo ya kutopenda mabadiliko tuongeze tena mitano. Haya ndiyo majaliwa yetu. Hata hivyo tusikate tamaa huenda haya yote yakawa yamesababishwa na "Maradonna"
Back
Top Bottom