Kaka pole ila kama unaweza na huna majukumu ya msingi ,kuhudumia familia wewe mwenyewe tegemezi ,amka jifute vumbi anza kuikataa hio hali kwa nguvuu moja wanakubeba ujinga,saka ata dili za ujenzi anza nazo kisha tujue nini cha kufanya ila kujitolea hapana
Akuna kitu cha kimsingi kabisa cha kuifanya Tanga au Mbeya kua majiji,ukiondoa mkakati wa kiserikali kali kuchochea kasi ya maendeleo ya kikanda.Ila kiuhalisia hio ni miji iliochangamka tu .
Ui
Hapa nitagusia haya, mizigo toka pindou tunainunua na kuisafirisha bila tabu kupitia hawa forwading agent walioko hapa nchini na wanafikisha mizigo kwa ufanisi na uharaka tu.
Mara nyingi mizigo isio na asili ya vilipukizi kwa ndege hutumia si zaidi ya siku 7toka siku mzigo utakapokua...
Hio huduma kama ipo na hua naiona pia je mkuu unaweza ihusianisha vipi na nfc kwenye simu upande wa kutoa pesa bank manake kuna simu zina nfc na nikigugo naona hio feature inauwezo wa kutoa pesa kwa siku
Ukweli mtupu nikiwa mwanafunzi wa muziki kwa sasa japo nina miez mitatu ila nimejua muziki unaosomwa na huu muziki unaotajwa naiona na kuioewa tofauti yake pakubwa mnoo
Unaweza sema umekwama kipengele kipi ili nijue pa kuanzia au ni mgeni kabisa unataka upatiwe msaada kuanzia hatua ya kujisajili na kuweka anuani zako na mengineyo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.