Recent content by Kilalo

  1. K

    Rais Magufuli, lini atashusha P.A.YE na kuboresha mishahara ya Wafanyakazi?

    Walau wewe unalipa laki mbili, yupo mtu na hawa ni kundi kubwa sana tunalipa PAYE kwa asilimia 30. Yaani mie hapa kwa mwezi nalipa 1.1 milion sawa na milioni 13 kwa mwaka. Pamoja na kulipa kodi hiyo, umeme nikienda kununua nalipa VAT, kupeleka umeme vijiji (REA), service charge kila ninunuapo...
  2. K

    Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    Rais anatakiwa aanze na watu kama hawa wenye kuwaza udini tu maana kama kakwepa kodi asiguswe kisa anaitwa said salim? Humu ndani jf kuna thread inamtaja Dangote nae kakwepa kodi, mmeiozesha nchi kwa mawazo haya ya kila kitu lazima kifanywe na akina abdalla, ali na mwinyi
  3. K

    Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    Akili yako imeishia hapo kufikiria maana kama kakwepa kodi aachwe tu kisa anaitwa said salim? Na bado, naomba rais shughulika na watu kama hawa maana kila kuwaza kwao ni udini tu nakuona wengine kama wasiostahili kukaa kwenye nchi hii. Mmeozesha nchi na kuna thread humu inamtaja Dangote huoni...
  4. K

    Rais Magufuli, alisema atashusha PAYE, na akiahidi anatenda, wafanyakazi wanasubiri..

    Nami nampongeza mwandishi kwa kumkumbusha rais wetu juu ya ahadi zake. Naanza na la PAYE najua lugha iliyopo ni kuwa inatozwa 11%. Lakini mheshimiwa rais wapo wanaokatwa 30-33% kwa mwezi kwa ajili ya PAYE. Kato hili ni kubwa mno mheshimiwa rais tupia jicho na nilitamani nalo ulifanyie kazi hata...
  5. K

    CCM tuone soni, huku ni kujiharibia

    Na je hatuoni kuwa hapa CCM imepotoka jamani kwa makamu wa rais kuwa mshauri wa mambo ya wanawake tuuuu? Mie nilidhani ni msaidizi wa rais
  6. K

    CCM tuone soni, huku ni kujiharibia

    Mzee Tupatupa umeacha pia ile kauli ama agenda kuu ya wagombea wa CCM imempendekeza mwanamke ili akawe mshauri mkuu wa mambo ya wanawake. Swali hapa ndugu zangu mambo mengine ya maendeleo kwa jamii makamu wa rais kumba hatafanya kama ilivyo kwenye katiba?
  7. K

    Rais Kikwete Aagiza Kidato Cha 5&6 Kila Kata

    Elimu yetu inahitaji umakini sana iboreshwe issue hapa si quantity kama ambavyo nchi yetu muda mwingi imekuwa ikishabikia. Jukwaa hili kwa hoja hii tulipaswa kuishauri vema serikali ya Kikwete kuliko tunavyoshabikia. Hurumieni watoto wa taifa hili
  8. K

    Rais Kikwete Aagiza Kidato Cha 5&6 Kila Kata

    Fikiri kwanza kabla haujashabikia. Katika kila kata kuna shule moja ya sekondari kwa watani. Kila shule unaweza kuta wanafunzi hawazidi 120 kidato. hebu fikiri sasa tujenge shule ya idato cha tano na sita kila kata kwa maana kuwa hata atakaepata division five anatakiwa aende kidato cha tano...
  9. K

    Mamlaka husika fuatilieni huyu mkuu wa shule ya Chilonwa

    wenye mamlaka kama wakaguzi wa shule Dodoma mjini, Afsa elimu wilaya na mkoa wana namba zake. Nadhani ni vema kwenda kumkagua na kusikiliza wanafunzi, walimu na wazazi kupata maovu na ujeuri wa mkuu huyo wa shule. Kukaa kimya kwa mamlaka kutadidimiza zaidi elimu ya wanafunzi wa shule hiyo maana...
  10. K

    Mkuu wa Shule Chilonwa afuatiliwe

    Umeelewa malalamiko ama tu ni kwa vile unaweza kusoma na kuandika lakini kutafsiri wakufanyie wengine? Mkuu huyo wa shule anachangisha kilo 32 za mchele kwa kila mwanafunzi na vinalipwa na wazazi. wewe unakubali kuwa sahihi wanafunzi hao wasile wali hali mchele umechangwa na wao wenyewe? Ni...
  11. K

    Mamlaka husika fuatilieni huyu mkuu wa shule ya Chilonwa

    Issue sio chipsi kuku, wanafunzi kupitia wazazi wanachanga mchele kiasi kisichopungua kilo 32 kwa nini wasile wali hata siku moja basi kwa wiki? Kwenye vitu serious kama hivi msiingize mizaha maana nikumfanya ajisikie yuko sahihi. Ni bora mamlaka husika zishughulike hili maana natambua uwepo wa...
  12. K

    Mamlaka husika fuatilieni huyu mkuu wa shule ya Chilonwa

    Natambua watendaji serikalini mna mambo mengi yakushughulika ikiwa ni pamoja na kuhakiki utoaji wa elimu katika mazingira salama na bora. Pamoja hilo, wazazi ni wadau wa muhimu katika ufanisi wa utoaji wa elimu nchini na wajibu wao katika kuchangia huduma hizo inapostahili. Hata hivyo, mkuu...
  13. K

    Mkuu wa Shule Chilonwa afuatiliwe

    Natambua watendaji serikalini mna mambo mengi yakushughulika ikiwa ni pamoja na kuhakiki utoaji wa elimu katika mazingira salama na bora. Pamoja hilo, wazazi ni wadau wa muhimu katika ufanisi wa utoaji wa elimu nchini na wajibu wao katika kuchangia huduma hizo inapostahili. Hata hivyo, mkuu wa...
  14. K

    Mh. Mwigulu Saidia Watanzania kwa hili

    Mh najua una majukumu mengi sana ya kitaifa. Lakini hili linahitaji ufuatiliaji wako ama wa serikali kuwasaidia watanzania maskini. Mh waziri na Naibu katibu mkuu chama tawala, mwigulu kuna clinic ya wakorea pale maeneo ya jangwani Dar es Salaam (Inaitwa KOREA MEDICAL CLINIC) inatibu magonjwa...
  15. K

    UDOM Police Brutality: Haki za binadamu, wanasheria na wanasiasa mko wapi?

    naomba mjiridhishe na hiyo barua mnayosema siyo official maana taasisi za umma zinatumia kinachoitwa headed paper.
Back
Top Bottom