Ulikuwa mstari wa mbele ktk juhudi za upandaji wa miti hasa pale st james seminari tunakukumbuka sana kwa kutupa mazingira mazuri ya kusoma.Mungu akusamehe yale yote ambayo yalikuwa mapungufu ya kibinadamu.
Sisi tuliosoma st james seminari tutakukumbuka kwa upendo wako pamoja na uadilifu wako.Tulipokuwa pale seminari hatukushangaa tulivyosikia umeteuliwa kuwa askofu.Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi.Amina
kwakweli tume hii ya uchaguzi imejionyesha isivyokuwa makini,na isiyoweza kuonyesha haki kutendeka na bora ikavunjwa mapema ili kulinda amani ya nchi yetu.Watanzania wengi niliyokutana nao wanasema wazi kabisa kwamba matokeo yaliyotolewa na tume siyohalisi pia wanasema tume hii kutokana na...
Watanzania tuchukie mhalifu yoyote bila kuangalia hadhi yake ktk jamii.wizi wa aina yoyote ukilelewa ni hatari ktk jamii yetu,hakuna aliye na akili ambaye hakuona matayarisho ya haya yanayotokea sasa hivi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.