Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

Thank you for the interested parties we organize and find the convenient time and day.

Tunaweza kujipanga na kufuata taratibu zote zaa kisheria katika kuunda hii partnership business in Hardware.

Myself I am proposing Saturday 10th of September 2010. My number is +255784207307.

Thank you,

Enny hili liko poa kabisa. Bila kificho no yangu ni +255 789 100891. Tena umenigusa zaidi uliposema soko liko DRC, nina trucks zinafanya routes za Lubumbashi so unaweza kukuta partner mmoja akawa anatoa transport. Just like I said, niko zaidi ya kuwa serious. Tarehe 10th September so far nadhani iko ok poa kwangu. later on tutadiscuss where and at what time. Thanks!
 
Enny
Mimi nipo interested na biashara inayohusu mambo ya ujenzi, yaani sana sana nimejikita kwenye mbao lakini tofauti yangu na wauzaji wengine, mimi na deal na mbao ambazo ni za very high quality, yaani (as an authorized dealer)tumeinvest kwenye technology ya kisasa sana(European standards) ya kutreat mbao (sisi hatuchovi kienyeji)

Kiwanda bado ndio kipya ,actually ndio nimeanza promo kipindi hiki, vilevile na deal na HardWood za ukweli sana. Kwa hiyo kama unafikiri(au kama kuna mtu yupo interested) tunaweza kufanya chochote pamoja basi wakati ndio huu. Please check attachment ili uweze kupata nini tunafanya. Otherwise milango iko open kwa vifaa vingine vya ujenzi. Tayari nina eneo la kutosha kwa Timber Yard ,Workshop na maduka
 

Attachments

  • TimberUKStd.pdf
    328.4 KB · Views: 496
Zamazmani,

Unauza mbao tuu au pia unanunua mbao mfano kama mtu ana msitu ambao upo tayari kwa ajili ya kuvunwa mbao.
 
Zamazmani,

Unauza mbao tuu au pia unanunua mbao mfano kama mtu ana msitu ambao upo tayari kwa ajili ya kuvunwa mbao.

Nanunua hata msitu. Itategemea na aina ya mbao na sehemu ilipo..naomba details juu ya hili
 
Tumeshawasiliana kwa namba za simu zilizopo hapo juu na tunaendelea na mikakati
 
Feedback pls, hii ilikuja ishia wapi?


Nikweli Payuka, We need a quality of reliability in business and our lives. This thread is from Tues 24 2009. ilikua inakwenda muruwa. lakini kuna muungwana katushushia tena, kwa bahati. Acha nipige hizi number kama naweza kupata jibu mkuu.
 
Mkuu Payuka na wakuu wanaofuatilia huu mtiririko, Nimeongea kwenye simu na JFID Bobby, yuko kwenye uhusiano wa mwanzoni wa kibiashara na Enny. Wakuu, Hili soko la DRC ni kubwa kidogo. Ukichanganya na hapa nyumbani, hili soko linahitaji a strategic partnership ambayo FirstLady1 and Ambossador wamedokeza. Enny nimempigia hakupatikana. lakini simu yake nzima. nadhani alikua busy. Mkuu Bobby Asante kwa update.
 
Nipo Dar kwa yeyote aliyetayari kuanzisha biashara hii naomba tuwasiliane.
 
mimi nitaweka duka online for your hardware products,i will take a commision of 0.9% of your sales.Je mmeshafikia makubaliano ya partnership?
 
That is great I am expecting to come to Dar Sept 06 will cantact you

september 6 ??? Bongo Dar - Es - Salaam
:msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::embarrassed:
 
Wengi mnasema niko tayari mkuu niko tayari mkuu mna mtaji??au mnategemea jamaa aje na mahela amwage acheni utanzania jamaa kasema anataka partner tumuulize mmoja ,kumi au wawili na je ana mtaji au anatafuta mtu mwenye mtaji
 
Wengi mnasema niko tayari mkuu niko tayari mkuu mna mtaji??au mnategemea jamaa aje na mahela amwage acheni utanzania jamaa kasema anataka partner tumuulize mmoja ,kumi au wawili na je ana mtaji au anatafuta mtu mwenye mtaji

Mimi nina mtaji wa Mil. 40 natafuta watu ambao tutaungana na kuform kampuni ya ku supply vifaa hivyo DRC kwani nimeona market ipo kubwa sana na hasa ukipeleka katika big bundles.
 
Mimi nina mtaji wa Mil. 40 natafuta watu ambao tutaungana na kuform kampuni ya ku supply vifaa hivyo DRC kwani nimeona market ipo kubwa sana na hasa ukipeleka katika big bundles.

Afadhali Enny upo online kwani tumekuwa tukikosa mtandaoni na kwenye simu pia. Wewe uko na 40m, umejaribu kufanya mchanganyuo labda na kuona kitahitajika kiasi kwa ujumla? Kuna watu kadhaa walinipigia na wakaahidi kukupigia pia, vp walikupata? Sisi wengine tuko very serious kwenye hii issue na me naomba tusiuzimishe huu moto please.
 
Mkuu hii inaonekana ni interesting kwa wengi. Unaweza kutuma preliminary requirment ili watu wasiomeet basic requirement wasijipe matumaini ya bure. Au any individual without any capital can do it?
Thnks
 
Mkuu mimi niko interested na partneship. Wataalam hebu tujaribu kuchambua ujenzi hasa unahusisha nini na nini:

1. Tofari (normal blocks, vibrated, interlocking blocks, etc)
2. Mbao
3. Nondo
4. Cement
5. Mchanga
7. Kifusi
8. Paving blocks
9. Kerb stone
10. Pre-fab Columns
11. Madirisha (mbao, aluminium, uPVC)
13. Rangi + other related products
14. Gypsum board
15. Misumari.
Na shughuli nyingine zihusuzo ujenzi
16. Uchoraji ramani
17. Landscape design + gardening
18. Interior design + furnishing
19. Electrical and telephony+data installation

Etc etc
Eh,
please mwingine aendeleze ili wadau waweze kujua wanaweza ku-partner katika lipi.
 
Wakubwa nadhani wengi wameonyesha nia ya kuingia ubia, kwa watu wengi kiasi hiki basi ni ushauri wangu patengenezwe corporation na sio partnership. Hii corporation ni legal entity na inakuwa treated as a human katika dunia ya biashara.

Wale investor wote wanaotaka kuwekeza basi wapewe shares ambazo zitakuwa valued based on Asset za kampuni to liabilities za kampuni (book Value). Ina maana wewe mwenye biashara kama total asset yako kwa sasa ni million 10 na madeni yako ni million tano basi biashara yako ina worth 5M. sasa kama utatasema kampuni ina share 1000000 kwa sasa maana yake ni kwamba kila share utauza kwa shilling 5.. Kuna mambo mengi yanatumika kudetermine stock price and number of shares to be issued, hapa nakupa simple.

Sasa hawa investor watatengeneza board of director ya watu wa 5 ambao wao ndio watakuwa wanakutazama wewe kwa karibu sana sababu nategemea wewe ndio utakuwa executive officer sababu unaijua hii biashara. makubaliano yawe kwamba shares hazito ongezwa mpaka shareholders wote wakubaliane, au wapige kura. share holders watafaidika kwa dividends payout mwisho wa mwaka kama biashara is on profit. Valuation ya stock price ifanyike once a year, sababu nyinyi ni kampuni ndogo market haiwezi kudetermine price bali Book Value. Over period of time depend with growth mnaweza kufikia pahala market ika determine price. Ukiwekeza doesn't mean una power ya kufanya maamuzi base on either Capex or Opex. You can vote out executive director kama anacheza cheza. Nadhani you guys can take it to next level.

Mwisho, nataka mtu wa kupatner nae kwenye maswala ya ujenzi, na mpango mzima ni kuanzia na residential and local roads construction lakini growth potential ni kwenye kwenye cormercial buildings and highway. Nina uwezo wa kuacquire several assets which will show the strength in Balance sheet.

Nimekuwa kwenye corporate managament and business development kwa 5 years.

I have knowledge from Latin America to North Africa. Naitaji partner ambae tayari ana biashara ya ujenzi, and atleast ana cash flow ya 50Million TZSH kwa mwaka.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom