Recent content by kilakona schools

  1. kilakona schools

    Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

    Mshahara ni mmoja posho ni tofauti weka hivyo.
  2. kilakona schools

    Watakaopata daraja la 4 na sifuri elimu ya sekondari watashtakiwa kwa uhujumu uchumi

    Akili za viongozi Hawa muda mwingine sijui zinakuwa na Nini..
  3. kilakona schools

    Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

    Yaani mmetunga maswali ili watu wachemke badala ya kupima uwezo was mtu.. Sasa huyo mnyama anasaidia nn kwenye Mambo ya hesabu..
  4. kilakona schools

    Tuambizane ukweli, hawa Mamelodi Sundowns sio watu wazuri

    bora tupambane tujiweke 1 position huku tuombe al hilal wawe namba 2 tukutane nao tu hao ..
  5. kilakona schools

    Tuambizane ukweli, hawa Mamelodi Sundowns sio watu wazuri

    haka ka ahly tulichokafinya bongooo :p :p :p
  6. kilakona schools

    Namuona Muarabu Al Ahly akiombea Simba SC imfunge AS Vita Dar

    jana siwalaumu simba isee jua lilikuwa kali na joto 34c plus uwanja pitching ilikuwa mbovuu walijitahid sana...
  7. kilakona schools

    Nilivyoyaona maendeleo ya Tanzania baada ya kuwa Ulaya kwa zaidi ya miaka minne

    Mkataa kwao mtumwa. Wewe unatuponda wakati ndege zinafululiza kuja bara na visiwani wazungu wanapagawa na bongo hii hii chafu..kila mtu ashinde mechi zake tulipo leo ni pazuri kuliko Jana..au nasema uongo ndugu zangu?
  8. kilakona schools

    Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

    Simba wamepoa ingawa ball position Simba wapo juu..
  9. kilakona schools

    Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

    Simba Kama wapo mazoezini Hawa al-malek wepesiii
  10. kilakona schools

    Kuibuka kwa wananchi wakiwa na Mabango ya kero mbele ya Rais Magufuli. Je, ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa na watendaji mbalimbali?

    Ni kweli watendaji wa serikali wengi wao ni miungu watu sijui huwa wanawaza nn wakiwa maofisini jaman yaan unakuta shida ndogo tu au umepeleka barua inachuku mwenzi kupata majibu ya siku moja...hasa manispaa na wilaya.
  11. kilakona schools

    Jinsi nilivyofilisika

    Pole mkuu pambana urudi kwenye mstari.. Bidhaa yako ya viatu vya ngozi ni nzuri
  12. kilakona schools

    Timu za Majeshi zipigwe marufuku kucheza Ligi Kuu

    Hao sio wanajeshi ni yanga tu hiyo
  13. kilakona schools

    Halmashauri nyingine zilizoko Dar zinaweza kuwa jiji - TAMISEMI

    Hapa waseme mengine tu kwamba matumizi ya kuendesha lililokuwa jiji la dar es salaam ilikuwa ni kubwa Sana ila wamekurupuka na Hilo swala huko mbeleni litarudishwa...Bora wangevunja ofisi management ya mkoa na badala yk ingekuwa tu moja ofisi ya jiji la dar es salaam na manispaa zake..
Back
Top Bottom