Asiposhinda mechi ata moja inabidi adroo zote 3 sasaVipi kama Simba itafungwa au kutoa draw?
Asiposhinda mechi ata moja inabidi adroo zote 3 sasaVipi kama Simba itafungwa au kutoa draw?
Hajakosea mkuu.Simba alikosea kutomfunga Msudani.
Vita na Al Ahly wanaweza songa mbele endapo mechi ijayo tukashindwa pata matokeo.
Kwa sasa tumuombee AS Vita ampige Mwarabu afu tumfunge Msudani
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Upo makini Mkuu.Huyo As Vita hawezi kuwa na GD ya nne...maana alipata goli nne dhidi ya Al mereikh na goli mbili dhidi ya Al ahly jumla sita...pia amefungwa goli moja na Simba,moja na Al mereikh na mbili na Al ahly jumla goli nne ukitoa unapata mbili...so GD2 ndo inatakiwa ionekane hapo kwa As Vita...kuna makosa.
Mechi ya 4 itafungua kundi nakuwa wazi zaidi.Asiposhinda mechi ata moja inabidi adroo zote 3 sasa
akifungwa Congo tutafia uwanjani Egypt,aacha ujinga kabisaAl Ahly sijui wana shida gani?
Nahisi labda Wachezaji hawamtaki kocha Msouth, wanataka mwarabu mwenzao au mzungu. So hata Kinshasa Ahly anaweza kufungwa au kusuluhu.
jana siwalaumu simba isee jua lilikuwa kali na joto 34c plus uwanja pitching ilikuwa mbovuu walijitahid sana...Hajakosea mkuu.
Atakosea akishindwa kuwafunga El merick na Vita hapa Bongo.
Point 1 ya jana ni muhimu mno kuliko angefungwa hapo Sudan... tuwe na kiasi bhana sio kila mechi utashinda.
Hata Al ahly na Vita wanapambana kupata point hata 1 ugenini.
imepita hiyoooHuko naona timu nyingi majina yanaanzia Al.
Simba nao wajiite Al Kasus, itapendeza sana
Kama tia maji tia maji ya Utopolo raundi ya pili ligi kuu?Wakati tunasoma chuo kuna jamaa alifumua vizuri sana test zake za kwanza, lakini test zilizofuata zilikuwa tia maji tia maji na akaishia sup. 3. So watch it.
Leo Polisi anakupiga kamoja tuuuuuKazeni tu watani mana bado safari ni ndefu kwa mfano.
Hao hakitoa sare watafikisha point tano tano, nyinyi simba mtampga msudani mtakuwa nazo kumi alafu wenyewe mechi mbili zitakazosalia watatembeza kichapo zote, ambapo mechi zao n za simba na msudan, hivyo wenyewe watafikisha point 11 na nyinyi simba mtakuwa nazo kumi. Mpira ni kamali iliyo wazi😆😆😆, jitahidini sana safar bado n ndefuuuu, lasivyo wao wapuuzi wakikutana bc mmojawapo apigwe but bado mtahitaji point nne za uhakika zaidi
Siku ile na wale jamaa wa Tanga ulitabiri ukweli, leo tukifungwa hicho kimoja match inayofuata nitakopa hela ata elfu kumi nitembee na utabir wako😁😁Leo Polisi anakupiga kamoja tuuuuu
Hawajui mpira utopolo hao. Wanadhani Champions League=Mapinduzi Cup.Hajakosea mkuu.
Atakosea akishindwa kuwafunga El merick na Vita hapa Bongo.
Point 1 ya jana ni muhimu mno kuliko angefungwa hapo Sudan... tuwe na kiasi bhana sio kila mechi utashinda.
Hata Al ahly na Vita wanapambana kupata point hata 1 ugenini.
Kuna watu walisema kundi la simba ni jepesi.
Simba alichofanya ni kumuwahi adui yake na kumuangamiza
Mnapiga hesabu ndeefu mnapoteza time tu timu zinazotoka ni Simba na EllmarekSimba next round hamna hamna hakosi Point 4, yaan afungwe Cairo, a draw na Vita Kisha amchape Msudan. Atakua na total 11 points jumla.
Waliobaki watahitaji points 7 kufikia hizo 11 za Simba. Yaan washinde mbili na draw moja. Katika hizo mbili za kushinda kila mmoja atavuna point 3 kwa Msudan.
Itabaki points 4. Vita akidraw na Simba atahitaji kumchapa Ahly pale Kinshasa. Na Ahly endapo atamfunga Simba Cairo na Msudan atahitajika kufanya kazi ya ziada Kinshasa.
So atakaeshinda Lubumbashi ndo atakaepita na Simba endapo atafanikiwa kupata Point 4 mzunguko wa pili.